Na amejikubali sana fyika, kiasi kwamba anakodishwa kuzungumzia kujikubali kwenye maisha.Umbo lake halimfikirishi hata punje!Mbona mzuri jamani kila mtu amshukuru Mungu kwa jinsi alivyomuumba kwani ni neema tu..yy amejikubali na maisha yanaendelea. Tusithubutu kudhihaki kwa namna yoyote