Mihemko ikizidi afanyeje?

we mwache tu usimbane ila kaa nae umpe sex education. Ongea nae hata kama akiamua kwenda ajue kunani huko lakn kumbana si rahis huu ndo wakat wake wa kutaman
 
Sasa wataka kufukuza kabinti kwa sababu ya mabadiliko tu ambayo anakumbana nayo...we nyakati hizo ulizipitaje?
 
mnunulie dildo. harafu sio vizuri kutumia neno 'nimfukuze'.
 

Keshaanza mambo hayo...hasa unapokuwa safari. Angalia tu mumeo asije pitia...kama bado!
 
Kwanza ungemkalisha chini umpe darasa....

Pia kumwonya kama mwanao.

Tatu umpe off kwa vile wamlinda angalau mara 1 kwa mwezi

Ukimlinda asiliwe nje ataliwa ndani mwako
 

Ndugu yngu unayafahamu yanayoendelea huko kwenye kwaya?
Atakutana na kwaya masta atamtafuna mpaka mifupa
 
Mwache akapate dushe ila mfundishe mambo ya kinga ya magonjwa/ujauzito kabla ya kumpa uhuru wa kutoka na uhuru huo si wa kwenda kulala huko huko.
 

jaman ant bora huyo bnt anaekwambia ukwel kamaunaweza mruhusu awe na m2 ila heshima inahitajika na kumruhusu huko sio moja kwamoja hapana me mnarafk angu anabint wa kaz ameish nae zaid ya 6yrz cku mojamoja akiwa hom anampa chance bnt aende kwa m2 wake na bint anaheshima na adabu
irimrad ongea nae kuhusu mimba na magonjwa.
 
hv ungekua wewe ungeweza hujui gnye mbaya.
 
Duuh!
i hope you are lying! Mtu wa hivyo unakaa nae na unamsifia anaangalia watoto vizuri? Na ana uthubutu wa kufanya na kuongea hayo mbele yako (unahisi haongei hivyo mbele ya wanao na mumeo?)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…