Kwani la saba 2014 wameshamaliza shule
Ndugu wana jf mimi ninaishi na msichana wa kazi, nilimchukua akiwa mdogo alivo maliza lasaba mwaka 2010 Sasa msichana huyu amekuwa ana mihemuko ya hali ya juu anatamani hata kubaka ni vile tu nimembana sana naogopa kumwacha huru kwani misela itampa mimba mana hajui lolote kuhusu kijizuia, msichana huyu ni mwaminifu nasafiri namwachia nyumba lakini anaangalia vizuri nyumba na watoto hivo natamani kumfukuza lakini nashindwa kwajili ya uaminifu wake lakini genye zake ni kali nahis hata mme akimuomba one day atampa sasa nimeshindwa nifanyeje, nimfukuze, au nimuache yani sijui nimedata tu nimeona nililete kwenu mnisaidie
ww umejuaje km ana mihemko ilopitiliza na genye zake ni za hali ya juu??
mmmmh umejuaje yote hayo.... hayo yoote ya manyonyo yake kuwa. mazuri anakueleza father house... anajiingizia vidole kunako father house unamuangalia tu.... napata walakini...
BTW ka kuna katoto ka kiume chunga sana utakuta amekabaka
mmmmh umejuaje yote hayo.... hayo yoote ya manyonyo yake kuwa. mazuri anakueleza father house... anajiingizia vidole kunako father house unamuangalia tu.... napata walakini...
BTW ka kuna katoto ka kiume chunga sana utakuta amekabaka
Kwani mtoa mada si mwanamke au? Mi ndo nmesoma vibaya..
Endelea kumkataza,mpige marufuku tabia za kujishika shika na kuongea mambo ya ajabu mbele za watu,ajifunze kujiheshimu,muweke busy na shughuli za nyumbani,pia kwenda nae kanisani au masjid,ajiunge kwaya o something,
mana hapo ukimruhusu hata once imekula kwako si unajua mambo ya kikubwa ukishaanza huachi...na atakuwa anawaleta hadi home
Namsikia anavyo ongea ongea, mara maziwa yangu mazuri, ------ yangu mazuri, anasema mwanaume atakae nipata atafaidi akisema hivo tu anaaza kucheka anajishika shika adi anajitia midole kunako ofic anajichokonoa afu nkimuliza anasema anafangas zinamla ndani. Kuna mida ananiambia yeye hataki kuondoka ila anaomba nimuache huru kwani yeye amekua na hisia za mapenzi zina msumbua anasema ninavo mbana yeye afanyeje. Nikweli yuko hivo nikimwambia hamna kutoka na wala nisikuone na wanaume analia kweli