Wanaruhusiwa mkuu kukitafsiri kwa lugha waipendayo... Tena itakuwa safi sana kama watafsiri kama kilivyo na ndipo hapo utakuja kugundua siri iliyokuwemo ndani ya hicho kitabu.... AYA ZA SHETANI (The Satanic Verses). Je Wakristo wakiamua kutafsiri kile kitabu na kuanza mihadhara patakalika kweli? Nadhani Wakristo waendelee kuwa watulivu ili kulinda amani. Ila ingekuwa vema viongozi wa juu wa serikali wakakemea mambo haya. Au nao wanayafurahia?
Nadhani hiyo ni mitaa ya magomeni na manzese si ndiyo? na hao ni waislam wanachambua the holy BIBLE. That is lack of confidence.
Hivi mihadhara ya kidini imeruhusiwa tena? Huku mtaani kwetu kwa muda wa wiki nzima sasa kumekuwa na mihadhara inayoendeshwa kila siku jioni na waumini wa dini moja wakichambua kitabu cha dini nyingine....
Wakuu,
Mbona mnakuwa hivyo...watanzania tunaongozwa na sheria na katiba whatsoever,kama sisi hapa JF tuanavyo enjoy uhuru wetu wa kikatiba wa kujieleza na wao kadhalika wanatumia haki kama hiyo ya kikatiba kama watanzania wengine ya kujikusanya na kuhubiri...hawavunji sheria yoyote,mbali na nyinyi kupata maudhi...si vumilieni tu, waacheni wa enjoy uhuru wao wa kutangaza dini yao na imani yao kama nyinyi mnavyo enjoy uhuru wenu wa kujieleza na kutoa maoni hapa JF...mnafikiri watu hawaudhiki na mashambulizi na matusi ya JF...si wanavumilia tu...au?
Hivi mihadhara ya kidini imeruhusiwa tena? Huku mtaani kwetu kwa muda wa wiki nzima sasa kumekuwa na mihadhara inayoendeshwa kila siku jioni na waumini wa dini moja wakichambua kitabu cha dini nyingine....
Terrified christians mihadahar ni muhimu kwa faida yenu yenyewe tuwaelimishe kwamba yesu si mungu ili msije kutulaumu siku ya kiama kwamba hatukuwaambia wakati mnaungua motoni
Ha ha ha una uliza majibu? who is terrified? wale wote wanaolalamika ...of course ndiyo waoga kilichobaki mtaita polisi kama kawaida yenu....lolWho is terrified?
Wewe hata koran huijuwi, kwani allah nae ni mungu, au ni kiumbe?
Hivi hujuwi kuwa allah anenda choo, sasa Mungu toka lini akaenda choo. lol