Miguu yangu kuuma kwenye unyayo

Miguu yangu kuuma kwenye unyayo

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,412
Reaction score
10,924
Habari,

Nimekuwa nikisimama kwa Muda mrefu kwenye shughuli zangu.

Miguu kwenye unyayo inauma...nlienda hospital wakanipima kisukari (5.7) na Syphilis (non reactive)

Doctor Akanipa paracetamol.

Ushauri wenu tafadhali
 
Mkuu pole kama umeshapima kisukari na umepima figo huna matatizo basi itakuwa ni sababu kubwa ya wewe kuumwani kusimama kwa muda mrefu punguza kusimama utapona maradhi yako hakuna dawa ingine hapo zaidi ya kupunguza kusimama sana uguwa pole.
 
Mkuu pole kama umeshapima kisukari na umepima figo huna matatizo basi itakuwa ni sababu kubwa ya wewe kuumw ani kusimama kwamuda mrefu punguza kusiamama utapona maradhi yako hakuna dawa ingine hapo zaidi ya kupunguz akusimama sana uguwa pole.
Sawa mzizi mkavu
 
Back
Top Bottom