Yakufikirika lakini yanatokea aisee! Mimi kuna kitoto kilikua jirani yangu huko mitaa ya kwa aziz ali cha 6yrs kilimuumbua bibi mmoja "We bibi mi leo siendi na wewe kula nyama na kucheza ngoma usiku" mama mtoto kuhamaki anamuhoji mtoto anamueleza wanavyoondokaga, na wanayoyafanya. Alikua ntu wa Ntwala, akampeleka huko kwao sijui ndo kuzindikwa na akamuacha huko2 kwa babu yake.