migration.

migration.

moriooo

Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
13
Reaction score
3
habari wana jf, napenda kujuzwa kama kuna yeyeto anayefahamu kuhusu migration watatangaza lini tena kazi.
 
Immigration sio? We subiri tu mkuu mambo ya serikalini hayaeleweki kazi hazitangazwi lakini watu wanaanza tu kazi
 
Nadhani hawajatangaza bado ila tegemea 'hivi karibuni' kwani kuna waliotoka 'depo' juzi juzi nasikia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom