Migomo ya wanafunzi mkoa wa Pwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migomo ya wanafunzi mkoa wa Pwani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr Mayunga, Feb 28, 2012.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wanafunzi mkoa wa pwani,rufiji wanagomea menejimenti za shule zao wakizitaka ziachie madaraka.Migomo hyo inafanywa pamoja na wazazi wa watoto hao.Serikali,hebu komesheni tabia hii haraka.Waelimisheni hawa wanarufiji umuhimu waelimu,sababu pindi sisi wageni tukiondoka alafu tukawaacha wenyewe hali itakuaje.BADILIKENI.
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hizo menejimenti zimefanya nini?ngumu kuchangia maana habari haijakamilika!!!
   
 3. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Mbona mtoa mada unatoa hukumu mwenyewe! Badala ya kutoa habari kamili unaleta stori, sasa unataka, hasa sisi wa mbali tusiojua chanzo tuchangie nini? Je kama uongozi unawaibia wazazi na wanafunzi, wao wakae kama mazezeta??? GIZA LINATOWEKA TANZANIA!!!
   
Loading...