Viongozi wameona hata wakitangaza mgomo,wagomaji ndo hao waliotumbuliwa kwa vyeti feki na wengine bado uhakiki unaendelea.Usije kukuta hao watangaza migomo nao wanapumulia mashineHabari wana jf?
Enzi za JK walimu kupitia Viongozi wa CWT walikuwa wakitangaza migomo wakidai haki zao kama vile nyongeza ya mshahara, n.k. siku hizi mbona hatusikii Viongozi hao wakitangaza hiyo migomo ilihali serikali ya JPM haijafanya chochote kwa walimu hao. Je, hii inamaanisha nini kwa Viongozi hawa?
Wa vyuo vikuu waligoma pale walipokuwa wanahisi fedha za boom kucheleweshwa. Sasa hivi thubutu.....Si hao tu, hata wanafunzi
Hata maandamano na mikutano ya kisiasa hakuna na watu kimyaaaa, usiwaonee Walimu tu watu wote wamenyweaaa.Habari wana jf?