Migogoro ya Rwanda,Malawi VS Tanzania ingetokea awamu hii ingekuwaje?

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
20,017
49,163
Moja ya sifa za mgombea urais wa JMT kwa tiketi ya CCM ni kuwa na ozoefu wa masuala ya kimataifa ,najua hilo walilikwepa makusudi mwaka 2015
Nyerere aliona mbali kumbania JK mwaka 1995 kwani hakuwa na uzoefu wa kitaifa wala kimataifa
miaka michache iliyopita mgogoro wa Rwanda na Tanzania na Malawi na Tanzania kwa upande mwingine JK alitumia uzoefu wake migogoro hiyo ikafa natural death
Najiuliza kwa diplomacy ya awamu hii ya tano hiyo migogoro ingetokea sasa walahi vikosi vyetu vingekuwa vitani na TBC1 wangekuwa wakipiga remix ya zile nyimbo zilizopigwa enzi za vita ya Tanzania na uganda mwaka 1978
 
Wewe hujitambui ...Urais ni taasisi ...unafikiri JPM analala akiamka anatoa tamko? Unamjua Mahiga?
 
Back
Top Bottom