Migogoro ya ndoa

Migogoro ya ndoa

shuka chini

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2024
Posts
1,504
Reaction score
2,975
Habari wadau poleni na mihangaiko ya kilasiku.
Moja kwa moja kwenye mada.

Leo asubuhi kama kawaida niliamka nikawa nashida ofisi moja wapo ya serikali nikapita nyumba ya jirani yangu nakuta mwanamke amekaa nje na mwanaume yupo ndani anaongea.

Kwahali nilivyoiona nilijua hakuna usalama hapa maaa jamaa alikuwa na mgogoro na mke wake kama wiki hivi alikuwa mke kasepa kwao .Sasa mimi sikuzingatia sana nikasalimia nikasepa

Sasa baada ya kumaliza shida yangu ofisini nikarudi home nafika hapa jirani na kwangu nikakutana na yule mwanamke jirani anatokea upande niliyotokea mimi nikampa hai nikasepa home sasa nilivyofika nyumbani muda simrefu yule mama akapita anaenda mahali.

Nikawa nimemuambia mke wangu hali niliyomuona nayo yule mama tukawa tumekausha hiyo stori ikaisha

Sasa baada ya muda yule mama akapita kwangu akapiga hodi tulikuwa ndani tunakunywa chai.Nikatoka nje nikamkaribisha akasema shemeji nauza kuku mbili moja 15000 mwingine 10000 jumla 25000.

Nikashtuka kwanza nikamuhoji vipi mme wako anajua akasema anajua na kuku ni zangu nikamwambia vipi unaniruhusu nikamuulize akasema nenda.

Nikawanimeenda nilimkuta jamaa yupo nikaongea nae sikutaka kujua kama wanamgogoro.

Sasa jamaa akafunguka kuwa wanamgogoro na mke wake na hizo kuku zinauzwa ili apate nauli ya kwenda kwao ikabidi nimbane jamaa chanzo nini huyu jamaa anaumri mdogo hata mke wake ni mdogomdogo nawazidi umri ikabidi nijiongeze hapa lazima niwashauri wasivunje mji maana dogo mpambanaji sana.

Hapa tu amejenga nyumba ya room tatu na amejenga kafremu anauza vitu rejareja.

Sasa kumbe huku naongea nae kumbe na mke wangu akawa anamdadisi yuledada kiufupi mke wangu na huyo dada wako sawa kimo ni wafupi.

Sasamke nae akaanza kumdadisi chanzo nini huyu dada ikafahamika chanzo ni wivu wa mapenzi .Mimi baada ya kuongea na jamaa akasema broo mimi nakuruhusu ununue hizo kuku maana huyu mwanamke hanisikilizi sio kwamba sina hela ya kumpa ninayo nikasema sawa nikarudi home nayule dada nikampa hela kuku alikuja nao ila ikabidi tumshauri yule dada asiondoke.

Nikamfata mme wake ilituyaongee kunusuru ndoa.
Jamaa nikamfata akatii kija kwangu tukaweka kikao mimi ,wife, jamaa na mke wake .wototo tukawatimua tukaanza kikao

Kwanza nikawapa nafasi kila mmoja ajieleezee akaanza mke wake jamaa ikabidi afunguke kuwa mme wake anatoka kimapenzi na mama jirani hapo na kunasiku alimpa hela .

Sasa ikafahamika jamaa hajui kusoma ila mke wake anajua kusoma sasa kunasiku yule mama jirani alituma meseji kwenye simu ya jamaa sasa mwamke akaisoma niyamapenzi.

Baada ya kumsikiliza mke nikampa nafasi.mwanume nae ajielezee ila hapo kabla jamaa nilikuwa nimeshamtonya malalamiko ya mke wake akakili kuwa anakula hapo muda huo nilipomfata kumuulizia kuhusu kununua kuku.jamaa nilimuambia hata kama anachepuka basi ajaribu kuchepukia mbali sio hapo pua na mdomo.

Basi jama alivyoanza kujielezea kwanza alitoa masikitiko yake kwa mke kuwa mke anasikiliza maneno ya watu .nikamuhoji kuhusu hizi tuhuma japo nilikuwa najua nikamuhoji kinafiki jama akawa amekana basi ila jamaa akaomba.msamaha kwa mke wake kinafiki tu .

Mke wangu akaanza kuwashauri na mimi kama mzee wa mji nikamalizia kwa kumpiga mkwara jamaa aache kuchepuka wakati namimi ndio zangu na nilikuwa nimetoka kuzozana na wife kuhusu tabia kama hizo jana tu.

Baada ya kumshauri jamaa nikamshauri mke wake nae nikamuuliza shemeji ( mke wa jamaa) kama yameisha akasema yeye anataka akapumzike nyumbani ikqbidi nimshauri mwisho wa siku akakaa sawa basi tukaagana nao .

Huku nyuma wife akaniambia sasa baba J hizi kuku tuwarudishie kwasababu kesi yao imeisha nikaona nijambo jema .kwanza alikuwa ameniuzia kwa beinya hasara.

Ikabidi niende kwao nafika nakuta na mke amefungua fremu yao wanauza nikamwambia jamaa naona yameisha akasema ee nikamwambia jamaa tumeshauriana na wife kuwa hizo kuku kama vipi mje mzifate mnirudishie hela akasema watazifuata jioni.

Sasa hapa nasubilia saa moja kama watazifuata wasipozifuata kesho namfata kuuliza kama wako tayari nianze kula moja.

Ushauri kwa vijana wenzangu unapotaka kuchepuka basi chepukia mbali tofautinna hapo utaleta migogoro isiyoyalazima
 
Kuna watu mna suluhisha kijinga sana, hapo kosa ni kuchepuka na siyo umbali.
 
1751643859055.jpeg
 
Sasa jamaa akafunguka kuwa wanamgogoro na mke wake na hizo kuku zinauzwa ili apate nauli ya kwenda kwao ikabidi nimbane jamaa chanzo nini huyu jamaa anaumri mdogo hata mke wake ni mdogomdogo nawazidi umri ikabidi nijiongeze hapa lazima niwashauri wasivunje mji maana dogo mpambanaji sana.
Je hiki kipengele yupoje

1751644216793.jpeg
 
Umecheza kama wewe sio kila ugomvi ni kugombana
 
Ukiwa mchepukaji basi mke wako naye akiwa mchepukaji vunga huoni ili mdumu ndoani
 
Mbona wewe uliyechepukia mbali pia umenaswa?
 
Ahahahahah.
We jamaa nimekukubali sana.
Umekua honest na at the same time umekua mnafiki yote kuweka mambo sawa
 
Umesahau kumshauri jamaa amwambie limama lake asimtumie sms kwani jamaa ako hajui kusoma...na akimpigia simu awe anafuta history kabla hajafika home na pia amwamishe huyo mshangazi huo mtaa ....oooiiii!!!
 
Ahahahahah.
We jamaa nimekukubali sana.
Umekua honest na at the same time umekua mnafiki yote kuweka mambo sawa
Ndio maisha yalivyo ndugu kuna muda unafiki unatakiwa ufanyike ili kunusuru jahazi linalotaka kuzama
 
Back
Top Bottom