Migodi ya dhahabu kuanza kulipa ushuru

Migodi ya dhahabu kuanza kulipa ushuru

hivi huwa mnasomaga habari kweli kabla ya kuchangia? au huwa mnakurupukaga tu?
Huenda majadiliano yalikwisha anza siku nyingi tu; ila kukubali kulipa hiyo 0.3% rasmi ndiyo mwaka huu wa fedha 2014/2015; japo inasekana majadiliano yalianza tangu 2013.
Kufanyika majadiliano ni suala jingine, kukubaliana mlichojadili ni hatua moja mbele, na kukubali kutekeleza ni hatua ya pili. Nini ambacho hakieleweki?!
 
kwa hiyo na wewe unakubaliana kabisa kuwa simbachawene kapambana kweli kweli akiwa waziri kabla ya july 1 2014? mbona tunatetea vitu ambavyo hata haviteteeki?
 
Hapa sijamtetea mtu, ila utekelezaji wa makubaliano umekuja wakati Simbachawene ndiyo Waziri. Hii haimaanishi yeye ndiye aliyepambana kufikia hapo; naweza sema imetokea kama zali tu kwa upande wake.
 
Back
Top Bottom