Migodi isiyo na tija | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Migodi isiyo na tija

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CHITASONLIKA, May 27, 2011.

 1. C

  CHITASONLIKA New Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi karibuni tumesikia juu ya vifo vya wananchi Mgodi wa Nyamongo.wawekezaji wanasababisha watanzania kuwa kama watumwa kwenye nchi yao.Serikali yetu itabadilika lini ili wananchi waweze kufaidi maziwa na asali vilivyomo ndani ya nchi yao pasipo dhuruma? mwisho wa siku tutakuwa na blood diamonds and Golds!.mwanachi akifaidika na rasilimali zilizoko ndani ya nchi yake ugomvi utatoka wapi?
  Tundu Lissu na wengine wanateseka hivi leo kwa ajili ya kuhakikisha maslahi ya wananchi yanapatikana.tunahitaji watu kama hawa wengi zaidi ili maendeleo yakweli yapatikane Tanzania.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  I BEG TO DIFFER: are u saying vibaka waliouawa nyamongo ni bcos wamenyimwa fursa ya kufaidi raslimali zao?, so unaunga mkono ujinga huu wa wa TZ wa kuacha kufanya kazi wakabaki kulalama na kutamani kunyanganya kilichotayari?. Nakuunga mkono kuwa waTZ sasa watakuwa watumwa na sasa ni tayari"WATUMWA" bcos wanachuki binafsi na wenye mitaji na hawakotayari kutafuta mitaji ili wajiendeleze na hii ndo maana hata watanzania wengi wenye mitaji hawataki kuwekeza nchini mwao kwa kuwa wanakuwa victims of circumstances. Fumbua macho na chukua hatua sahihi. Usidhani kuwa kumshabikia ndugu yako kwa kila jambo hata kama ni baya ndo kumpenda, tufike mahali tuelezane ukweli.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  May 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu au umekosea bahati mbaya kwa hiyo vibaka ndo mlitaka kuwazika kwa ghalama za serikali!
   
Loading...