Atar?th? nafas? ya Omben? Sefue labda maana hajatangazwa mr?th? wake. Inaonekana bado Sefue anafanya kaz? na UN kwa sababu al?onekana kwenye ujumbe wa Prof. T?ba?juka UN wakat? Tanzan?a ?l?powas?l?sha omb?/and?ko la kutaka kuongezewa eneo la bahar?.
True Prof. Tibaijuka kashindwa kabisa kuperform sijui ni system mbovu au yeye hayuko fit kiuongozi na hawa wanaokuja kutoka big post sijui itakuwajeIcon zetu nje zinarudi kwa kasi......................Majuzi tu karudi AmbassadorMulamula wa Great Lakes Region, si haba ngoja mrudishe ujuzi na maarifa mliyopata ughaibuni lakini muwasiliane na Tibaijuka jinsi anavyoshindwa ku-cop na system ya Kibongobongo
Kama nafasi ya kuendelea ilikuwepo halafu yeye anatemeshwa mzigo, halafu Boss wake anadai anataka team ya kazi. Napata wasiwasi kidogo. Hapo huenda mama ametunanga na tumepoteza nafasi muhimu kwa future ya bongo yetu. Tumepewa na tumeshindwa kuitumia.
Sasa akimaliza mkataba wake aende wapi ?
Au ulitaka ajilipue
Atafaa sana awe balozi wetu UN na itamsaidia mwanae amalize masomo, na pale utendaji wake tutausimamia wenyewe Watanzania tunayemuelewa. Nadhani Tanzania itamfikiria katika hili mara tu baada ya kurudi huku.Atarıthı nafası ya Ombenı Sefue labda maana hajatangazwa mrıthı wake. Inaonekana bado Sefue anafanya kazı na UN kwa sababu alıonekana kwenye ujumbe wa Prof. Tıbaıjuka UN wakatı Tanzanıa ılıpowasılısha ombı/andıko la kutaka kuongezewa eneo la baharı.
Uongozi katika CCM hatoweza kabisa kuhimili kasi ya vyama hapa Tanzania, labda tu ataurisha mshikamano lakini kuongoza hawezi, kasi ya mambo ya vyama yanahitaji mtu mwenye kufikiri na kufanya maamuzi magumu na baadaye mepesi mambo yakishakuwa sawa, labda kama atatumia vijana, sasa hivi kasi ya uongozi katika vyama ni ya vijana zaidi na hao wataweza kuikabili.Anawahi uchaguzi wa Ndani CCM nini?? Naanza kupata hisia za "NI ZAMU YA WANAWAKE KUONGOZA NCHI" kama ilivyokuwa zamu ya "WANAWAKE KUONGOZA BUNGE"
Atafaa sana awe balozi wetu UN na itamsaidia mwanae amalize masomo, na pale utendaji wake tutausimamia wenyewe Watanzania tunayemuelewa. Nadhani Tanzania itamfikiria katika hili mara tu baada ya kurudi huku.
Ugonjwa CCM ni mbaya ,mwana CCM hata umpeleke mwezini atashindwa tu,wenzetu hawataki bla bla,na kibaya zaidi Wakorea ni wapiga kazi si masihara,sasa mama kila leo yupo Dar wapi na wapi ,kaomba aendelee ,Mkorea kammwaga,halafu eti baadaye anataka awe "Rahisi" wetuKqshindwa kucope na speed ya BabKi moon; mkorea yule balaa mama alifanya business as usual ndio maana kaomba na kakosa tena; mama you have proved a failure maana angekuwa performer angeendela nae; lakini kaonekana mzigo maan muda mwingi yuko huku kuja kutuonyesha yuko UN. Anyway karibu but binafsi sijapenda ulivyo tuprove we cannot perform
Atafaa sana awe balozi wetu UN na itamsaidia mwanae amalize masomo, na pale utendaji wake tutausimamia wenyewe Watanzania tunayemuelewa. Nadhani Tanzania itamfikiria katika hili mara tu baada ya kurudi huku.