Migambo wa vita vya Kagera

Hapana mkuu haikutimia..bali nilipitia nyayo za mzee kidogo kati ya 2002-2007 nikatema mzigo na kuanza maisha ya kitaa mkuu.
Wonderful mbona kuna habari nazisikia sana kwamba ukishakula kiapo ni ngumu sana kuvua gwanda.
 
Wonderful mbona kuna habari nazisikia sana kwamba ukishakula kiapo ni ngumu sana kuvua gwanda.
Hapana mkuu inategemea...binafsi majukumu ndiyo yalinitoa,kwanza kabisa Mzee wangu alianza kama kuchanganyikiwa na hakukua na msaada wa mtu wa karibu,naadamu nilishafikisha miaka6 ya mkataba nikaomba kuacha kazi nikalipwa some few cash(3.7m)nikapewa na barua yangu nikarudi home kumuuguza father,I did it for 3yrs na siku pesa ziliponiishia na Mzee akafariki 2010.
 
So sad,pole sana;ukupata msaada wowote wakumhuguza Mzee kutoka kitengoni?
 
So sad,pole sana;ukupata msaada wowote wakumhuguza Mzee kutoka kitengoni?
Mkuu tatizo ni kwamba nilisha 'muua' baba kitambo.....miaka miwili baada ya kuingia jeshi nilitokea kumpenda binti mmoja hivi,kwa bahati mbaya zaidi binti alikua mwanafunzi mwaka wa mwisho f6,so baada ya kumaliza akapata chuo Dar Mlimani...so ikawa ngumu sana kuonana nae,mimi nilikua Tabora na yeye Dar,kuna siku ukame ulinibana na sikua na namna zaidi ya kutengeneza mazingira,nikamuandaa mtu akapiga simu officn ya kuwa nimefiwa na mzee,so nikapewa ruksa ya wiki1 kwenda home Musoma but mie nikaenda kwa mtoto wa Kinyamwezi Tabora,ukame wa mwaka mzima ilibidi nipate utulivu wa moyo kuumaliza kwa toto lile la kinyamwezi..wiki nzima ilikua tamu sana kwangu mkuu mpaka nikatamani ni bora nifanye mishe za kuhama from Tabora to Dar,but kwa bahati mbaya transfer yangu ikaletwa Moro Ngerengere..hakua tabu bcoz kila ijumaa jioni nilikua natoka to Dar narudi sun.
Back to topic:
Baada ya mzee kuanza kuugua sikua na namna ya kudanganya zaidi ya kuomba kuacha kazi ili nikae karibu na mshua.
 
Sasa mkuu katika maisha yako hujawai kufikiria kua ni laana kumuua Mzee kwa ajili ya demu,by the way nipe update ndio shemela wetu mpaka Leo au baada ya mauaji mliachana.
 
Mkuu ulishindwa kumuua bibi yake bibi mpaka umuue baba mzazi.. Kweli k ni hatari.
 
Kumuua Mzee? Hatari kumbe mabinti noma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu katika maisha yako hujawai kufikiria kua ni laana kumuua Mzee kwa ajili ya demu,by the way nipe update ndio shemela wetu mpaka Leo au baada ya mauaji mliachana.
Ahahaaaaa.mkuu ilikua utoto Tu bana.i was 20only bro so nadhani nilikua sijakomaa kiakili.But huko majeshini mkuu Kuna watu washaua mpaka watoto wao so hawana kitu.Aliua Baba,mama,mke,na watoto believe me.
Well,a girl tuliachana ingawa tulipata mtoto mmoja and a kid nilimchukua mwenyewe nikampeleka to my sister anaishi Finland,a girl yupo kwenye makinikia ni engineer migodini huko kusini mwa Africa.
 
Aisee pole sana bro!! Nadhani ile siku tuliyopanga kukutana, utanisimulia vizuri. Hope unaendelea vizuri na familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuwa darasa la tano wakati huo,habari za kutangulizwa migambo ni fake news,hakuna jeshi linalotumia mbinu hiyo,wanaotangulia ni vikosi vya suvilliance wakirudisha taarifa jeshi linasonga mbele kwani hamuangaliagi movie za vita? msidhalilishe jeshi letu jamani.
 
Darasa la tano bado mtoto huna jipya.
 
Basi mkuu unajua kupenda sana.
 
Mimi nilikuwa mstari wa mbele [emoji3][emoji3].

BTW, nina uncle ana fix balaa alishiriki vita ya kagera. Sasa jicho lake ni bovu kidogo.

Anakuambia alikuwa mstari wa mbele, sasa siku moja yeye na platoon yake walivamiwa wakauliwa akabaki yeye. Wanajeshi wa nduli wakamchukua kama mateka na walipofika kambini mwao wakamtaka awafundishe tactics za Tz.

Kama bahati akawaambia pangeni foleni ile wamepanga akamyan'ganya mmoja silaha akawatungua wote walikuwa kama 6 wa mwisho hakufariki ndiye akampiga bullet ya jicho. Akafanikiwa kutoroka na mpaka leo anadunda.
 
Unanikumbusha story moja inaitwa zawadi ya ushindi. Inahusu vita vya Kagera


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unanikumbusha story moja inaitwa zawadi ya ushindi. Inahusu vita vya Kagera


Sent using Jamii Forums mobile app
Niliisoma pia sema nimeisahau... moja ya riwaya za ujasusi kwa kipindi hicho pamoja na ile ya Harakati za Joram Kiango.

Hawa wapigaji muda mwingine wanaongeza sukari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…