wewe jamaa kumbe ni muhenga..vipi hao mgambo hawakupata nafasi ya kwenda jeshi?"Mmaah" Migambo wote walirudi salama na ndiyo hao unaowaona sasa mitaani na rungu.
Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
Habari yako nimeipenda hasa pale kwenye mmah! Sasa, pamoja na yoooooteee habari yako ni mstari mmoja tu. Kuna kitu kwa kiluguru kinaitwa "punctuation"! Waulize wakufafanulie mkuu. Kwa sasa ni hayo tu.Leo nilikua naangalia ITV kumbukumbu ya vita vya Kagera,na wakati vita hivi vikipiganwa nilikua nimeshazaliwa ila maji nilikua naita mmaah wakati huo,nimekua nikiadithiwa kuwa wakati wa vita migambo walitangulizwa mbele kama chambo kwa jeshi la Idd Amin na wengi wao waliuliwa,wanaojua naomba mnieleweshe je wale migambo ambao walirudi salama baada ya vita walichukuliwa jeshini au walirudi vijijini kukumbiza wananchi wakisaka kodi ya kichwa?
Mzee Mwewe nitampata wapi?Kuna mzee anaitwa mwewe akikuhadithia kuhusu mambo waliyofanyiwa na serikali utashangaa.walipelekwa zanzibar wakatelekezwa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Bagamoyo.ufukweni kule.ukimuulizia utampataMzee Mwewe nitampata wapi?