Hellow , marry Christmas to you all,
Naomba kuuliza ni mgahawa gn au hotel gan ya kigeni ambapo mtu anaweza pata Chakula pamoja na hizi race nyingne Kwa hapa DODOMA ,
Nafuatilia comment Ili nikaenjoy Christmas yangu huko .

najua mda umeshapita, ila next time jaribu kuna mgahawa upo top floor ya Best Western City Hotel pale otherwise nenda kwenye hotels, binafsi naiaminia/ recommend zaidi legendary hotel, Dodoma Hotel