Mig33 members

Mig33 members

Kyalow nimeanza kutumia simu mwaka 2008 nikiwa form 3b! Lol..
 
Last edited by a moderator:
huwezi jua hiyo ni historia yetu sisi tuliokuwepo miaka hiyo ya 2006-2007 kipindi kile nilikuwa naweka
vimada vya kutupia sijui kama wanakumbuka niliweka mada iitwayo KARANGA watu wakaichangia na kukejeli na kufurahia na mkuu Baggy akawa ananipm kujua nimetoa wapi kitu kile sijui kama wanakumbuka akina shalow

eenh! hata sielewi kinachoendelea!
 
kumbe wewe mtoto wa juzijuiizi tu huweizi jua historia ya jf ilianzia wapi na tumetoka nayo wapi
utupe shikamoo

mimi wa juzi hapa jf? are you sure?

nakumbuka kipindi unaingia hapa besti hata hujui uanzie wapi ku-post wala kuchati? lol...

unamkumbuka block City?
 
huwezi jua hiyo ni historia yetu sisi tuliokuwepo miaka hiyo ya 2006-2007 kipindi kile nilikuwa naweka
vimada vya kutupia sijui kama wanakumbuka niliweka mada iitwayo KARANGA watu wakaichangia na kukejeli na kufurahia na mkuu Baggy akawa ananipm kujua nimetoa wapi kitu kile sijui kama wanakumbuka akina shalow
umesoma post ya Khantwe kuhusu ulichonijibu?

sikupenda kukujibu ndivyo sivyo, najaribu kukueleza kwa PM lakini inagoma... chunga sana kauli zako...
 
Last edited by a moderator:
umesoma post ya Khantwe kuhusu ulichonijibu?

sikupenda kukujibu ndivyo sivyo, najaribu kukueleza kwa PM lakini inagoma... chunga sana kauli zako...

Yani huyu anajifanyaga anamiliki jf mi ananikera kweli yan
 
Basi msigombane wajameni... ladyfurahia you got to change, be smooth where possible.... be complex where complexity is needed..

Mi ni kijana mdogo ndio, but najitambua vibaya sana!... :sorry::sorry:

:focus::focus::focus::focus:
 
Hahahahah...unadhani mi nagombana basi....ni kawaida yangu ubongo wangu hauna sehemu ya kuedit maneno kabla hayajatoka mdomoni
 
lol.. hivi hii Mig33 inahusu nini?

mbona siielewi mie?
 
sorry kama nimekukera mke mwenza nimejua ni utani tu
muwe na amani
Hahahahah...unadhani mi nagombana basi....ni kawaida yangu ubongo wangu hauna sehemu ya kuedit maneno kabla hayajatoka mdomoni
 
poleni kwa kauli hizo mm nilijua ni utani :sorry::sorry::sorry::sorry::sorry::sorry::sorry:

Back
Top Bottom