MIFUMO YOTE KUSOMANA DIGITAL ID

MIFUMO YOTE KUSOMANA DIGITAL ID

Kipindi mitandao ya kijamii inaanza mlikesha makanisani kuipinga mkisema ni mitandao ya shetani,leo mmejazana huko kuomba sadaka.

Unabii umetumia tayari haya ya DIGITAL ID yameshaanza CHINA,tunaenda kwenye cashless money,digital currency,micro chip Neurolink,mRNA technology kubadilisha DNA Yako... chapa 666
 
Ni SAWA kutokuelewa huu unabii SITEGEMEI WATU WOTE WAELEWE NA KUAMINI KUUPOKEA NA KUKUBALI...sio watu wote ni wanaenda safari moja ,wale waliokusudiwa KUAMINI na kuelewa wataamini ,SIO WATU WOTE watakataa alama ya MNYAMA chapa ya 666 WENGI wataipokea na kuifurahia HATA NCHINI CHINA ni wananchi wachache tu walioweza kukataa huo MFUMO..na wote waliokataa kupokea hiyo chapa ya shetani wanateswa na wengi wao ni WAKRISTO.
 
Hata huu MFUMO utakapo anza hapa kwetu sio watu wote wataukataa WENGI watauopenda ,sio watu wote Wana macho ya kuona yale yasiyosemwa ,kusikia yale yasiyosemwa,kugundua agenda za siri zilizofichwa nyuma ya hiyo DIGITAL ID, MICRO CHIP NEURO LINK,NA MRNA VACCINES TECHNOLOGY
 
Hivi ni kwamba Mungu huwa hana mamlaka hapa duniani? Kwanini kila kitu kielekezwe kwa shetani kiongozi.Wapo matajiri ambao mali zao ni halali hapa duniani,zipo teknolojia ambazo hazitokani na giza,zipo nchi ambazo hazifungamani na giza.Sasa inakuaje kila wakati shetani mnamtukuza sana hapa duniani kupita Mungu?
Akikujibu tafadhali nishtue mkuu.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hizi stori zilibamba sana miaka zaidi ya 15 iliyopita

NUHU aliwaonya watu WA NCHI yake kwa miaka 120 WATUBU waache dhambi LA SIVYO kuna gharika UNAKUJA kutokana na Hasira ya Mungu juu ya maovu Yao...wakawa wanamcheka kwa kusema HIZI POROJO tumezisikia kwa miaka zaidi ya 100 kwanza hapa kuna ukame ni mvua ya gharika itoke wapi,wakawa wanamuona kama KICHAA..mpaka pale AMBAPO HAWAKUMUONA KICHAA TENA.
 
NUHU aliwaonya watu WA NCHI yake kwa miaka 120 WATUBU waache dhambi LA SIVYO kuna gharika UNAKUJA kutokana na Hasira ya Mungu juu ya maovu Yao...wakawa wanamcheka kwa kusema HIZI POROJO tumezisikia kwa miaka zaidi ya 100 kwanza hapa kuna ukame ni mvua ya gharika itoke wapi,wakawa wanamuona kama KICHAA..mpaka pale AMBAPO HAWAKUMUONA KICHAA TENA.

NOAH WAS CRAZY UNTIL HE WASN'T
 
New world order NWO
UN AGENDA 2030 Mission Goal 2030
Wanamiliki MIFUMO YA KIUCHUMI kifedha,nguvu za kijeshi,teknolojia hapa DUNIANI(Shetani) Wana agenda zao kufikia 2030
1.Serikali moja ya DUNIA,isiyokuwa na mipaka raia wote watakuwa wakazi WA DUNIA mtawala Mmoja,na viongozi nchi watakuwa kama wakuu wa mikoa TU

2.Mataifa yote yatakuwa kama vimikoa chini ya serikali moja ya DUNIA

3.Jeshi moja la DUNIA

4.Jeshi moja la DUNIA la ASKARI police mapolisi

5.Umoja WA kifamilia kuvurugwa watoto kulelewa na kiserikali,HAKI SAWA ndoa za jinsia moja n.k

6.BANK benki moja ya DUNIA

7.Pesa moja ya DUNIA ambayo ni ya mitandao ,pesa za makaratasi na sarafu kuacha kutumika,

8.Mwisho WA umiliki binafsi WA mali...

9.Kupunguza idadi ya watu DUNIANI ikiwemo uzazi wa mpango

10.Mwisho WA umiliki binafsi WA mali zako binafsi

11.Chanjo za lazima
ni chpa ya MNYAMA inayobadili vinasaba vyako kwenye mkono 666

12.Kipato Cha kubana matumizi..vipato vitabanwa kwa Sheria Kali

13.vitambulisho vya kimtandao

14.Microchip itakayopigwa CHAPA kwa kuandikizwa kwenye paji la uso ama kiganja Cha mkono(chapa ya mnyama) ili uweze kununua na kuuza na kusafiri. CHAPA 666

15.Mfumo mpya WA kijamii WA kifedha kama WA China

16.Watoto watakuwa ni mali ya Serikali watalelewa na serikali(familia KUVUNJA)

17.BIASHARA zote kufanywa na serikali ukitumia pia MAROBOTI AI

18.Marufuku ya safari za ndege zisizo za lazima

19.Watu wote waishi maeneo ya majini yanayofikika kwa dakika


Marufuku kuishi mbali na mini MIKUBWA Yani pembeni ya miji, kukimbilia vijijini kujifucha kukimbia MFUMO hii mpya???

20.Marufuku kumiliki shamba binafsi au butani binafsi

21.Marufuku kumiliki mifugo

22.Marufuku kutumia tiba za KIASILI za mitishamba,majani, mizizi

23.Mahakama zinazo ongozwa na MAROBOTI AI

24.Marufuku ya kutumia mapori na bidhaa za porini,wanyama pori

25.Marufukua ya nishati ya mafuta ya sheli,magari ya umeme,mwanga WA JUA ,AMA NISHATI SAFI.

Haya yanaendana na KITABU CHA Ufu 13:17
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

hakutakuwa na kuuza wala kununua" yanatoka katika unabii wa Biblia kwenye kitabu cha Ufunuo 13:17, unaoeleza kipindi cha mwisho ambapo mtu hataweza kununua au kuuza isipokuwa awe na chapa au alama ya mnyama (666).
💡 Maana na Muktadha Wake
• Alama ya Utii: Kununua na kuuza kunawakilisha uhuru wa kushiriki katika jamii na uchumi.
• Kipindi cha Taabu: Vizuizi hivi vitawalenga wale watakaokataa kuabudu mfumo waasi kwa Mungu.
• Simamia Imani: Unabii unasisitiza uvumilivu na uaminifu kwa waamini wakati wa majaribu makuu.

Mateso kwa wakristo wanaopiga MFUMO huu WA kishetani YATAKUWA DUNIA NZIMA kwa wote wote watakao kataa kupokea chapa ya shetani watateswa duniani kote,kama baadhi ya NCHI ambazo zimesha anza kuwatesa wakristo hii itakuwa DUNIANI KOTE ...DHIKI KUU.

CHAPA ya mpinga Kristo itakuja kwa jina zuri kama vile maendeleo hawatakwambia tunakupiga chapa 666 watakwambia tunakuwekea chanjo,ama neurolink micro chip au digital ID itakayokurahishia huduma za kibenki,kununua ,kusafiri,pia itakusaidia kuponya mwili WAKO hutazeeka,hutaugua na wengi wataikimbilia KUPIGA chapa,ili waweze KUPATA huduma bila chapa hupati chakula,wataona ni kitu kizuri sana.

Hapa ndio itajulikana kama KWELI WEWE unampenda Yesu ama utamkana Yesu.

ila Mt 24:13
Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.


WATAKAO kataa chapa watakosa KUPATA chakula ,lakini YESU atawalisha kimiujiza
Mt 4:4
Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

JE utakuwa tayari kupoteza vyote KWA AJILI ya UzuRI na UPENDO WA YESU.
Hapa itategemea ha hazina Yako ilipo kama uliwekeza katika kumpenda YESU basi moyo WAKO utavutwa kule hazina Yako ilipo.
Kama uliwekeza kwenye mafanikio ya ulimwengu huu basi moyo WAKO utavutwa kwenye DUNIA hii itakuwa rahisi KUMKANA YESU kuliko kupoteza mali zako kwa sababu ndiko moyo WAKO ULIPO.

Mt 6:21
kwa kuwa hazina yako ilipo, ndipo utakapokuwapo na moyo wako.
Chapa kazi achana na hizo historia za Paukwa pakawa
 
NUHU aliwaonya watu WA NCHI yake kwa miaka 120 WATUBU waache dhambi LA SIVYO kuna gharika UNAKUJA kutokana na Hasira ya Mungu juu ya maovu Yao...wakawa wanamcheka kwa kusema HIZI POROJO tumezisikia kwa miaka zaidi ya 100 kwanza hapa kuna ukame ni mvua ya gharika itoke wapi,wakawa wanamuona kama KICHAA..mpaka pale AMBAPO HAWAKUMUONA KICHAA TENA.
Siamini pia katika hii stori
 
Siamini pia katika hii stori

Safina ya NUHU imeonekana katika ugunduzi WA hivi karibuni na imethibitika kwa 💯 % confirmed NOAH'S ARK..
ARCHILOGISTS,HISTORIANS,GEOLOGISTS wanaendelea daily ku proove maandiko ya BIBLIA unayoyaita WEWE stories.
 
Safina ya NUHU imeonekana katika ugunduzi WA hivi karibuni na imethibitika kwa 💯 % confirmed NOAH'S ARK..
ARCHILOGISTS,HISTORIANS,GEOLOGISTS wanaendelea daily ku proove maandiko ya BIBLIA unayoyaita WEWE stories.
Pengine nikiiona io taarifa ntaamini ila kwa sasa naamini ni moja ya stori za kwenye biblia ambazo hazina ushahidi na ziko mbali na ukweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom