Hayandiomaisha
Member
- Oct 1, 2013
- 30
- 10
Nimeomba bar code ya isbn kwa ajili ya kitabu lakini wiki mbili sasa wanasema system inasumbua.
Imagine kamfumo hako kadogo tu kanasumbua. Kitu ambacho wenzetu wanafanya online dk mbili?
Tutoke huko kwenye mambo ya kizamani dunia inakwenda kasi sana tukimbie nayo plz