Mifumo miwili inayotawala ulimwengu

Mifumo miwili inayotawala ulimwengu

Giza inamaana kuishi na kifanya mambo bila uongozi wa Mungu mkuu.

Nuru ni kufanya na kutembea kama Mfuasi wa Mungu mkuu.

Kwahiyo kabla ya Adamu kuhasi amri ya Mungu na kujikuta kwenye giza, tayari Kuna viumbe wengine wengi walikua gizani.
"Kabla Mungu hajatawala uumbaji kwa Mfumo wa Nuru(Haki/Mema), alinza kutawala Dunia kwa mfumo wa Giza (Maovu ruksa)"
Giza inamaana kuishi na kufanya mambo bila uongozi wa Mungu mkuu.

Nuru ni kufanya na kutembea kama Mfuasi wa Mungu mkuu.

Kwahiyo kabla ya Adamu kuhasi amri ya Mungu na kujikuta kwenye giza, tayari Kuna viumbe wengine wengi walikua gizani.
mbona unajichanganya mwenyewe mkuu
 
Mkuu jifunze matrix then kila kitu kwako kitakuwa simple,kuna kitu kinaitwa simulation na spiritual awakening huyu mtoa mada yupo shallow sana ana uelewa wa biblical ambayo dini ni mfmfumo uliotengenezwa na watu wachache magenius ,
mnaongeleaga tu matrix. but what is matrix? na una differentiate vipi between reality na matrix? na if you believe in matrix huoni na wewe upo trapped kwenye matrix? na kama huwezi differentiate between matrix and reality huoni inakufanya usienjoy maisha sababu inakufanya unakua paranoid?
 
Kwa ufupi: Matrix ni kama mchezo wa video unaoigiza dunia, wakati Reality ni dunia halisi tunayoiishi, yenye matokeo halisi na uhuru wa kweli.
 
"Kabla Mungu hajatawala uumbaji kwa Mfumo wa Nuru(Haki/Mema), alinza kutawala Dunia kwa mfumo wa Giza (Maovu ruksa)"

mbona unajichanganya mwenyewe mkuu
Nikisema dunia usifikiri ndio ulimwengu mzima,

1. Eternity (umilele) (God realm)
2. Angelic realm
3. Heaven places (The realm of all spirit)
4. Man or Earth realm

Hapo nimezingumzia namba nne Dunia tu
 
Mkuu jifunze matrix then kila kitu kwako kitakuwa simple,kuna kitu kinaitwa simulation na spiritual awakening huyu mtoa mada yupo shallow sana ana uelewa wa biblical ambayo dini ni mfmfumo uliotengenezwa na watu wachache magenius ,
Huko ulikoniagiza ni mkufunzi kijadi na kiasili zaidi.
 
Gidabed Hata mvuta sigara ana sababu ya kupenda kuvuta sigara, Unafikir Wasoma biblia achana na wakristo wafata mkumbo,
Kusoma kitabu fulani wewe binafsi unaweza fanya hivo pasipo faida/maarifa muhimu kupatikana humo ?

Kwanini wengine wacheze mpira, wasome hadith, au kusikiliza music na ku watch movie, lakini mwingine aseme mm nitasoma kitabu cha kiroho ???

AKILI YAKO NI FINYU SANA, AMINI
Labda kweli ni finyu lakini kuna watu wameharibikiwa sana sababu ya bibilia. Watu wengine wamewageuza wengine watumwa wa kiuchumi sababu ya bibilia.umesikia weye akili pana.
 
True, na ni kwa sababu ya Udini
 
Umeanza kwa kusema kila tunachokifahamu kuhusu sisi ni Taharifa kutoka kwa wazazi, pastors, Walimu, Book of laws etc.

Sasa mbona unatumia taharifa hizo hizo kuelezea mambo mapya?
Huoni kama hiyo ni Victim Mindset?
 
Sio Mapya ni yale yale tunayofundisha kanisani
 
Back
Top Bottom