Mifumo miwili inayotawala ulimwengu

Mifumo miwili inayotawala ulimwengu

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
9,751
Reaction score
15,545
Kila unachokifahamu kuhusu wewe na kuhusu dunia ni taarifa kutoka kwa Wazazi, Ndugu, Pastor au Shehe, Mwalimu.
Binadamu anapozaliwa huja duniani na kuwekwa kwenye Mwanga, Mwanga ni kitu muhimu sana kwa binadamu,
Hakuna mmea wa ardhini ambao unaweza kukuwa vizuri bila mwanga (Light).
Huwezi kutembea na kuona bila Mwanga hapa duniani. Kukiwa na giza hakuna Jua wala Mwezi, tunawasha taa zetu za kisasa kupata Mwanga au Moto.

Huo ni Mwanga ambao ni Muhimu sana kwa Mwili wa binadamu kwa ukuaji na chakula.

Mtu ni Mwili + Nafsi + Roho

Twende kwenye chakula cha Ulimwengu usio onekana (Nafsi na Roho)

Biblia.
Mwanzo 1:1-3
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.

2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.

3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.

Soma vizuri hiyo mistari mitatu ya Mwanzo
Utagundua kuna gepu kubwa la miaka kati ya Mstari wa kwanza nawa pili.

Mstari wa kwanza Mungu aliumba mbingu na nchi. na lazima nchi iwe na viumbe,
Kisha msatari wa pili tunaona Utupu, Na Giza. vimetoka wapi ???

Kisha mstari wa tatu, Akaanza kuumba Nuru.
Kwahiyo siku ya kwanza Kazi pekee ambayo Mungu alifanya ni kuumba Nuru.

Kwahiyo Nuru kamkuta Giza akiwa mjengoni.

Tunapata kujua kwamba.

Viumbe kama Alien ambao walikuwepo kabla ya uwepo wa Adamu.
Malaika walio zini na binadamu walikuwepo duniani kabla ya Adamu,

Na waliishi hapa Duniani kwa Mfumo wa Giza.

Giza. wa kwanza
Nuru, wa pili

Kabla Mungu hajatawala uumbaji kwa Mfumo wa Nuru(Haki/Mema), alinza kutawala Dunia kwa mfumo wa Giza (Maovu ruksa)
Hapa hatuzungumzii kuwepo au kukosekana kwa Mwanga.
Mwanga wa Jua na Mwezi viliumbwa siku ya Nne katika mstari wa Mwanzo 1:14.

Giza- Ulimwengu wa giza (Ufalme wa giza)
Nuru - Ulimwengu wa Nuru (Ufalme wa Nuru)

Tunda La Ujuzi wa Mema na Mabaya.

Nuru - Mema
Giza - Mabaya.
Kujua, kutambua na kutawaliwa na mifumo yote miwili.

Kwahiyo lilikuwa ni tunda la kupewa kibali cha kutawala au kutawaliwa kwa ulimwengu wa giza au ulimwengu wa Nuru.

Sasa Shetani na Jeshi lake wamepewa kibali cha kupambana na binadamu kwa kutumia Ulimwengu wa giza.

Kuweza kuona mambo ya gizani, na kujua siri au mbinu za shetani, lazima uwe na Maarifa na Hekima za Ulimwengu wa roho.

Hekima hiyo Tunaita ni hekima iletayo Nuru.

Nuru au Maarifa na Uelewa ndio yatakusaidia kupambana na Ulimwengu wa giza.

1. Nafsi za watu zinafungwa.
2. Hatima na vibali vya watu vinachukuliwa.

Yote sababu ni kupungukiwa Nuru(Hekima) ya kuona na kupambana na Uovu wa ulimwengu wa giza.

MIFUMO MIWILI INAYOTAWALA DUNIA NA VILIVYOMO
 
Unashauri kipi kifanyike ili kuifikia ile hatma ambayo binadamu alikusudiwa kuifikia?
 
Binadamu ni body,mind,soul and heart.
Ikitokea kukawa na imbalance kwenye hizo elements nne maisha yanakosa mwelekeo. Kila elements ina chakula chake na endapo hiko chakula kikikosekana lazima mabadiliko yatokea kwenye maisha yako iwe unajua au haujui.
 
kuna kitu sijaelewa hapa kwahiyo hukumu inaanzia lini kipindi yeye mwenyewe anaendesha dunia wakati wa giza au baada ya kuleta nuru? na kama kabla na yeye je atajihukumu vipi wakati wa kipindi cha giza?
 
Na ukizingatia kwamba binadamu kwa asili ni wabinafsi,napata mashaka kwanini wanatumia nguvu nyingi sana tuiamini bibilia....
Ndio. Pumbazo Lao ndio fungo pekee la nafsi roho nala kiutawala wa utu lililobakia ukilishinda hili la bibilia utakomboa watu wengi mno.
 
Gidabed Hata mvuta sigara ana sababu ya kupenda kuvuta sigara, Unafikir Wasoma biblia achana na wakristo wafata mkumbo,
Kusoma kitabu fulani wewe binafsi unaweza fanya hivo pasipo faida/maarifa muhimu kupatikana humo ?

Kwanini wengine wacheze mpira, wasome hadith, au kusikiliza music na ku watch movie, lakini mwingine aseme mm nitasoma kitabu cha kiroho ???

AKILI YAKO NI FINYU SANA, AMINI
 
kuna kitu sijaelewa hapa kwahiyo hukumu inaanzia lini kipindi yeye mwenyewe anaendesha dunia wakati wa giza au baada ya kuleta nuru? na kama kabla na yeye je atajihukumu vipi wakati wa kipindi cha giza?
Giza inamaana kuishi na kufanya mambo bila uongozi wa Mungu mkuu.

Nuru ni kufanya na kutembea kama Mfuasi wa Mungu mkuu.

Kwahiyo kabla ya Adamu kuhasi amri ya Mungu na kujikuta kwenye giza, tayari Kuna viumbe wengine wengi walikua gizani.
 
Unashauri kipi kifanyike ili kuifikia ile hatma ambayo binadamu alikusudiwa kuifikia?
Kila binadamu hapa duniani ana hatima yeke bayo nitofauti na mwingine,kuna watu wengine wanapenda kuwa na familia kuna wengine hawapendi kabisa familia,kila roho ina safari yake na kila roho ilikuwa kabla duniani na imekuja kufikia lengo lake
 
Gidabed Hata mvuta sigara ana sababu ya kupenda kuvuta sigara, Unafikir Wasoma biblia achana na wakristo wafata mkumbo,
Kusoma kitabu fulani wewe binafsi unaweza fanya hivo pasipo faida/maarifa muhimu kupatikana humo ?

Kwanini wengine wacheze mpira, wasome hadith, au kusikiliza music na ku watch movie, lakini mwingine aseme mm nitasoma kitabu cha kiroho ???

AKILI YAKO NI FINYU SANA, AMINI
Kila kiumbe kina roho,na kila roho ina safari yake unavyopata elimu kubwa ndivyo unavyozidi kuhamka(spiritual awakening),hii ipo kadiri unavyodhidi kuhamka kuna stage itafika ambayo kila kitu kwako ni fresh tu yani nothing bothered you,sasa hapo ndo tunazungumzia 3D,4D na kuendelea hili ni somo kubwa sana nitafute kwa mda wako
 
kuna kitu sijaelewa hapa kwahiyo hukumu inaanzia lini kipindi yeye mwenyewe anaendesha dunia wakati wa giza au baada ya kuleta nuru? na kama kabla na yeye je atajihukumu vipi wakati wa kipindi cha giza?
Hakuna hukumu hizi zote ni matrix,aisee inabidi upate elimu kubwa sana
 
Unajua kiroho uafrika una nguvu Sana,sanaaa sasa mambo ya kiroho yakichambuliwa kibibilia Huwa simuelewagi MCHAMBUZI
Mkuu jifunze matrix then kila kitu kwako kitakuwa simple,kuna kitu kinaitwa simulation na spiritual awakening huyu mtoa mada yupo shallow sana ana uelewa wa biblical ambayo dini ni mfmfumo uliotengenezwa na watu wachache magenius ,
 
Back
Top Bottom