Mifumo mipya ya simu za mikononi! (Operating System, OS)

Mifumo mipya ya simu za mikononi! (Operating System, OS)

katokumbi

Senior Member
Joined
May 19, 2012
Posts
195
Reaction score
78
Nimekuwa nikufuatilia sana habari za teknolojia kupitia website tofauti tofauti kama www.pcworld.com Nimeona OS nyingi kama Android Os, Windows Phone 8 OS, Firefox OS, Symbian OS, iOS na nyingine nyingi tu, Lakini iliyonipagawisha hasa kwa kuangalia tutorial zake youtube ni Operating System ambayo wameitoa Linux iitwayo Ubuntu, Kwa mara ya kwanza nilikuwa napenda sana kutumia Ubuntu kwenye PC yangu japo wengine walidai hawaiwezi kuitumia lakini mimi niliipenda sana coz katika kupata virus hawa jamaa wameiprove sana! Bado sijawahi kutumia hii Ubuntu For Phone so kama kuna hata mmoja mwenye nayo aniambie. Nimepata maelekezo ya jinsi ya kuiweka kupitia website yao www.ubuntu.com na ni kwa simu za nexus kama samsung na lenovo, na galax za samsung nahisi hata htc one na sense zitakuwa zina uwezo wa kuweka hii os!
 
Mkuu kama ni mpenz wa linux usisahau kuangalia na sailfish os ya jolla jamaa wanahitaji msaad wako more than u know.

Kuhusu ubuntu so far nahisi unaiweka kwenye developer device kama nexus. Kuna simu ambazo bootloader zake zipo unlocked kama n9 na htc hd2 nafkiri pia unaweza kuieka
 
Back
Top Bottom