Matumizi ya mifuko ya plastiki inaweza kusababisha madhara yafuatayo; 1.) Kansa za aina mbali mbali - Uchomaji wa mifuko ya plastiki majumbani, mabarabarani, mahospitalini pamoja na kwenye madampo husababisha kemikali za sumu aina ya carcinogens kusambaa hovyo kwenye hewa unayovuta. Mfano wa...