Godfrey Tulu
New Member
- Mar 24, 2016
- 4
- 7
Habari zenu wadau wa biashara, uchumi na ujasiliamalia?
Ebana ningependa kufahamu juu ya upatikanaji wa vifuko vya ujazo tofauti kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa ila ningependa kufahamu haswa ile ambayo iko customised kwa logo na business info nyingine na siyo ambayo iko plain. Mfano mzuri ni kama hii ya hujui jamaa hapa chini.
Ahsante sana.