MIFUKO ya JAMII ITOE ELIMU KWA WANACHAMA FAIDA YA MIFUKO KUUNGANISHWA

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Hakika inashangaza sana ukimya Wa MIFUKO ya Kijamii juu ya Uungwanishwaji Wa MIFUKO Kwa wanachama wake.Nilitegemea elimu ya kwanini MIFUKO inaunganishwa, FAIDA na HASARA, Hatima ya wanachama na watumishi ingetolewa na MIFUKO yenyewe Kwa wanachama wake.Wanachama tunasikia habari hizi kupitia vyombo vya habari tu. Tunawashauri WAHUSIKA Wa MIFUKO watoe ELIMU Kwa wanachama wao kwani ndio wenye MIFUKO.
 
Back
Top Bottom