Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 2,194
- 4,805
Haya ndiyo mambo tunayotaka big up awamu ya tano .Mifuko ya hifadhi ya jamii imeanza mikakati ya kujenga viwanda ambapo kiwanda cha sukari kitajengwa Morogoro chenye uwezo wa kuzalisha tani 200,000 kwa mwaka na kuajiri watu 100,000
Pia kuna viwanda vya kutengeneza mafuta ya alizeti na usindikaji wa nafaka mahindi ambavyo vitajengwa Dodoma na Iringa
Kagera Sugar au Mtibwa wanazalisha tani ngapi na wameajiri wafanyakazi wangapi?Mifuko ya hifadhi ya jamii imeanza mikakati ya kujenga viwanda ambapo kiwanda cha sukari kitajengwa Morogoro chenye uwezo wa kuzalisha tani 200,000 kwa mwaka na kuajiri watu 100,000
Pia kuna viwanda vya kutengeneza mafuta ya alizeti na usindikaji wa nafaka mahindi ambavyo vitajengwa Dodoma na Iringa
Kiwanda Kitazalisha tani 200000 kwa hili sawa ila kwa hili la kitaajil watu 100000? Mungu nipe uzima mpka nione haya maajabu.
Hizi siasa za nchi hii hatari sana?? Kwanini kiwanda cha Alizeti kijengwe Dodoma ambapo mali ghafi kwa wingi inapatikana singida???
endelea kujikuna...2020 hiyo kwenye kona...wananchi wamesema JPM bila kupingwa.wanaongozwa na wanasiasa badala ya kufanya tathmini ya kina
Kujenga kiwanda hakuangalii tu malighafi zipo.Unaangalia vitu vingi.Ndio maana hata BHAKRESA viwanda vyake vya unga na mchele viko Dar es salaam wakati ngano,mahindi na mchele unalimwa mikoani.Huangalii tu mazao yalipo!!!!!!
Japani haijaweka viwanda vya magari kwenye chuma kinakopatikana.Chuma husafirishwa maelfu ya kilomita toka Afrika kwenda Japan!! Haangalii malighafi zilipo tu kama kigezo