RasJah
JF-Expert Member
- Nov 5, 2009
- 703
- 64
MIFUKO ya Hifadhi ya Jamii nchini inaongoza kwa kudhulumu wafanyakazi kutokana na kutofanya mrejesho wa faida inayotokana na vitega uchumi vyao. Wafanyakazi wamekuwa wakichangia fedha nyingi kwenye mifuko hiyo na fedha hizo ndizo zinazotumika kuanzisha vitega uchumi kama vile majengo makubwa kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu wa Tucta N. Mgaya.
Alisema inasikitisha kuona wafanyakazi wanapostaafu umri wao wa kuishi unazidi kupungua kutokana na ukali wa maisha kutokana na pensheni kiduchu wanayoambulia mbali na mifuko hiyo kulimbikiza fedha nyingi zinatokana na vitega uchumi vyao.