Mifuko mbadala

Mifuko mbadala

crusmygo1

Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
9
Reaction score
2
Habari wadau, natafuta sehemu wanauza karatasi za khaki za kutengeneza mifuko mbadala kwa Dar. Na nikipata mchanganuo wa gharama nitashukuru sana.
 
Gharama zake kaki lenye urefu wa Cm 90 na upana wa cm 125 lile gumu ni shilling500 na lile laini 450 !!ukitaka rollers zima lina kilo 543 @kg2200 sasa piga hesabu shillings ngapi jumla
 
hiyo bei iko juu mno hailipi?,hizo karatasi mbona stationary zipo kwa bei ya 200 kwa piece?
 
Gharama zake kaki lenye urefu wa Cm 90 na upana wa cm 125 lile gumu ni shilling500 na lile laini 450 !!ukitaka rollers zima lina kilo 543 @kg2200 sasa piga hesabu shillings ngapi jumla
hii inaweza toa mifuko mingapi?
 
mifuko midogo minne,au ile ya kilo mbili miwili kwa huo ukubwa wa cm 90x125
 
Mimi leo nlienda kununua kwa ajili ya biashara yangu....ila manyanga na bei nlzokuta imenbidi nirud na pic 10 ya kila mfuko

Hzo bahasha nmzikataa....piece 100 ni 7000
Hapa nshajifunza kutengeneza...magazet nnayo....naanza kufunga ucku wa leo bahasha za magazeti...!!

Waniache kabiisaaa
 
ha ha ha,mkuu haziitwi bahasha,ni paper bags,au mifuko ya karatasi sema kwako ulikuwa hujawahi ona juu umri wako mdogo,anyway huko ulaya wanatengeza hata ya magazeti ilimradi kutunza mazingira,kama khaki inakua bei kubwa unda ya magazeti ilimradi tumia gundi imara tu
 
Sasa magazeti utafungia nini? (kwa yalivyo mepesi) hayafai yale waliotengeneza karatasi za kaki sio wajinga!.
Mimi leo nlienda kununua kwa ajili ya biashara yangu....ila manyanga na bei nlzokuta imenbidi nirud na pic 10 ya kila mfuko

Hzo bahasha nmzikataa....piece 100 ni 7000
Hapa nshajifunza kutengeneza...magazet nnayo....naanza kufunga ucku wa leo bahasha za magazeti...!!

Waniache kabiisaaa
 
@Mrgenious unakuwa hulitendei haki hilo jina,,,anyway nenda youtube search,'how to make paperbags' ama unaweza kugoogle
 
Sasa magazeti utafungia nini? (kwa yalivyo mepesi) hayafai yale waliotengeneza karatasi za kaki sio wajinga!.
Ndugu kila mtu anJikuna awezapo magazeti nlpanga kwa tar 1 tu...then jpil natengeneza kwa kaki

Magazet n emergency ya siku 1
 
Back
Top Bottom