SophyMfumu
Member
- Mar 30, 2019
- 86
- 84
Km unahtaj kW bei ya jumla njoo pmWeka bei
Wanunue tu hizi alminium foil package , hamna namna.Kufungiwa kwa mifuko ya plastic kutawa athiri zaidi wauza chips
Mkuu.... kama umetangaza biashara hapa hadharani, kwanini kwenye bei ulazimishe PM...!!??Km unahtaj kW bei ya jumla njoo pm
Punguza kidogo bei ipo juu Sana bei yakoKm unahtaj kW bei ya jumla njoo pm
OkyMkuu.... kama umetangaza biashara hapa hadharani, kwanini kwenye bei ulazimishe PM...!!??
Je hauoni kama ukiweka bei hapa itakupunguzia usumbufu wewe binafsi, na pia itampa mteja option nzuri ya kujipima kwenye issue nzima ya bei...??
aluminium foil sio nzuri kwa afya (baadhi ya nchi wamezipiga stop) ukiwekakitucha moto hua inayeyuka unaweza usione kwa macho na unakula aluminium ambayo inaenda kusababisha vitu kama kansa, matatizo ya mifupa na kuondoa madini ya calcium mwiliniWanunue tu hizi alminium foil package , hamna namna.View attachment 1100373
Ndo hivyo mkuu sasa suruhu ni nini?? sawa sawa wewe umemwambia mkeo kwanzio kesho hakuna kula wali humu ndani wakati hata hela ya unga hujaacha.aluminium foil sio nzuri kwa afya ukiekakitucha moto hua inayeyuka unaweza usione kwa macho na unakula aluminium ambayo inaenda kusababisha vitu kama kansa, matatizo ya mifupa na kuondoa madini ya calcium mwilini
Tumetumia ubunifu mzury kutengeneza na kufuma kw mashine nzur kabsa ko hazinatiTunaofungasha nyama buchaani mifuko hiyo itatufaa? si nyama itashikana na karatasi
Sio kwa kiasi hicho, hizo paper bags zinafaa kabisa, na wengi wanatumiaga hizo siku zote nadhani hata KFC wanazo hata baadhi ya local chips friers wanazo hizo!Kufungiwa kwa mifuko ya plastic kutawa athiri zaidi wauza chips
Miaka ya nyuma kabla ya mifuko ya plastiki, hii mifuko ya kaki pamoja na magazeti ndio tulitumia kufungia bidhaa kama nyama, samaki, nyanya, vitunguu na kadhalika. Na nakumbuka tulikua tunatumia vikapu kwaajili ya kwenda sokoni kununua bidhaa nyingiTutapata tabu hapa mwanzoni ila tutazoea,shida ni pale unapokuwa na kitu kibichi kama Nyama au Samaki au Juice kama umepewa kutoka kwenye fridge sijui inakuwaje..!
Hivi Ushimen kwa hilo unalosema tutakuwa tunaenda mbele au tunarudi nyuma?kilichotushinda hapo ni kipi,hivi ni kweli tumeshindwa kabisa kuwa na sheria kali ya ku control utupaji taka hovyo hususa ni hii mifuko ya plastiki mpaka turudie vikapu na mifuko ya makaratasi?hii ni sawa na ile ya kushindwa kutengeneza utaratibu au sheria kali kwa madereva wanao kiuka sheria za barabarani na badala yake tunaweka matuta ambayo yanaharibu magari...Miaka ya nyuma kabla ya mifuko ya plastiki, hii mifuko ya kaki pamoja na magazeti ndio tulitumia kufungia bidhaa kama nyama, samaki, nyanya, vitunguu na kadhalika. Na nakumbuka tulikua tunatumia vikapu kwaajili ya kwenda sokoni kununua bidhaa nyingi
Acha kuwa lofa wewe.Km unahtaj kW bei ya jumla njoo pm
Gharama ni kubwa tofauti na soft ramboSio kwa kiasi hicho, hizo paper bags zinafaa kabisa, na wengi wanatumiaga hizo siku zote nadhani hata KFC wanazo hata baadhi ya local chips friers wanazo hizo!