HV na ile story ya namna ambavyo Osama bin laden alivyokamatwa ni wwe ndiye uliyeisimulia the bold
Yeah Mkuu! Na nyinginezo nyingi.. Angalia list ya thread zangu kwenye profile naamini utaburudika..HV na ile story ya namna ambavyo Osama bin laden alivyokamatwa ni wwe ndiye uliyeisimulia the bold
Amen brother! Nashukuru sana..Daaah shukrani za dhati kabisa kwako mkuu The Bold kwa simulizi hii maridhawa japo nimechelewa kuiona naamini MUNGU atakulipa kwa kutumia muda wako kuwaletea hadhira yako kitu kizuri kama hiki na kukuza ufahamu wao juu ya matukio mbali ya kustaaajabisha yaliyotokea duniani
Asante mkuu ubarikiwe
Shukrani Mkuu..Huyu jamaa jana anaitwa the bold n.balaaa
Pabro kafariki ila kafanya nmemuona nw kashusha nondo nyingine
Thanks sana mkuu
Shukrani Mkuu..The bold uko vzr, kimsingi nmekuwa shabiki wako
Pamoja sana Mkuu! ShukraniUwaga nasoma tu hizi story then napita bila kukupa credit ila naona nafanya dhambi hongera mkuu endelea kutushushia vitu adimu.
Sawa Mkuu..Mkuu ukitoa nyundo kama hizi uni tag
Amen! Shukrani..Naamin baada ya muda kila mtu atakuwa anakufuatilia sana humu ndani
Mm ndo naamin hvyo