JK kamsifia kuwa ndio mwanamuziki mwenye domo kubwa Africa nzima
usd$ 1 = 1850 ya Tanzania ndani ya uongozi wa jk
mkapa aliacha dola $1 ~tsh 950
Huo utafiti wako nadhani umeufanya kwenye vigodoro. Mathalan unasema kuwa uchumi umeporomoka. Hujatuambia umeporomoka kwa digits ngapi.