Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,671
Amen,na wanaokimbia wabarikiwe maana Hawajui walitendalo🤔Heshima kwa wanaume wote ambao wanatiza wajibu wao kipindi chote cha ujauzito, bila wao kwa kweli safari ni ndefu ila uwepo wao unafanya tuone raha ya ujauzito
Acha makasiriko, subirini uzi wenu wa kupendwa.Kila kiumbe kina stahili kupendwa. Tuondelee ufeminist wako
💕😉🙏🙏🙏Acha makasiriko, subirini uzi wenu wa kupendwa.
Na alikua na hiyari ya kutoa mimba usingezaliwaHuo ni uumbaji ndio mlivyoumbwa hivyo kubeba mimba so hakuna mpende bibi wala mpende mama.
P2,miso kibao bado ashupaza shingoNa alikua na hiyari ya kutoa mimba usingezaliwa
Hakuna neno linanikera humu jf kama hilo feminist. Limewakaa sana so mtu haruhusiwi kumsifia mwanamke?Kila kiumbe kina stahili kupendwa. Tuondelee ufeminist wako
Tuwasamehe bure momHakuna neno linanikera humu jf kama hilo feminist. Limewakaa sana so mtu haruhusiwi kumsifia mwanamke?
Washenzi na malaya ndio wanaotoa mimbaNa alikua na hiyari ya kutoa mimba usingezaliwa
Umtegemeaye siyeWashenzi na malaya ndio wanaotoa mimba
Uzazi wa zamani ndio ulikuwa nusu kifo sasa hivi ukifungua geti kituo cha afya iko hapoHakika mkuu,tena akijifungua salama Shukuru Mungu....uzazi sikuhizi ni nusukifo
Kuzaa kwenye imekuwa shida kaka, wanawake nawatoto wanapotea sanaUzazi wa zamani ndio ulikuwa nusu kifo sasa hivi ukifungua geti kituo cha afya iko hapo
Kwa Sasa Maternal mortality rate ipo chini sana tofauti na miaka ya nyuma sasa hivi huduma za afya zimeboreshwa sana na ikitokea mjamzito amefariki hiyo kesi nzitoKuzaa kwenye imekuwa shida kaka, wanawake nawatoto wanapotea sana
Kuna rafiki yangu majuzi kafa yeye kapona mtoto...damu nyingi zilimmwagika akaagaKwa Sasa Maternal mortality rate ipo chini sana tofauti na miaka ya nyuma sasa hivi huduma za afya zimeboreshwa sana na ikitokea mjamzito amefariki hiyo kesi nzito
Sikuhizi wanawake ndo twala Kwa jashoTuna waheshimu Sana tuu, lakini kubeba mimba na kuzaa kwa utungu isiwe kama ndio point ya kutakia heshima ni vile tuu Mungu alivyo amua, kama sisi tuliambia kwa jasho tutakula
Atatokeza mwingine na thread ya kumtukuza baba mkuuMnamchukulia poa sana baba. Unaujauzito mwanaume ana hakikisha unakula vizuri unalala pazuri toto lenye afya linazaliwa linasomeshwa halafu eti baadae linasema nani kama mama. Unakuta jitu zima lenye ndevu linasema nani kama mama wakati limelelewa na wazazi wote wawili . Wazazi wote ni sawa.
Nasi hatujawahi ringa mkuuTembo anabeba Miaka miwili na Wala haringi.