Mungu awabariki wanaume wote wenye moyo wa utu na hurumaHuo ni uumbaji ndio mlivyoumbwa hivyo so hakuna mpende bibi wala mpende mama
Mambo yote yatapita lakini neno litasimama
Be blessedNice
AmiinMungu awabariki wababa wore wanaopambana huko duniani kwa ajili ya watoto wao... mpende sana babaako
Amenthank you onbehalf
💕🤜thank you onbehalf
Hakika mkuu,tena akijifungua salama Shukuru Mungu....uzazi sikuhizi ni nusukifoNaunga mkono hoja muheshimu sana mwanamke alikubebea Mimba ya mwanao
Ukilea mimba ukiona wamama wanavyoteseka huwezi kabisa telekeza mtoto au mdharau mzazi mwenzioHakika mkuu,tena akijifungua salama Shukuru Mungu....uzazi sikuhizi ni nusukifo
Kila kiumbe kina stahili kupendwa. Tuondelee ufeminist wakoMpende sana mama mzazi,mpende sana mkeo mama wa watoto wako.Mungu awabariki sana.
Happy Valentine's day.
ThanksKila kiumbe kina stahili kupendwa. Tuondelee ufeminist wako
Ni Mungu tu anatupigania mkuuUkilea mimba ukiona wamama wanavyoteseka huwezi kabisa telekeza mtoto au mdharau mzazi mwenzio
Heshima kwa wanaume wote ambao wanatimza wajibu wao kipindi chote cha ujauzito, bila wao kwa kweli safari ni ndefu ila uwepo wao unafanya tuone raha ya ujauzitoMpende sana mama mzazi,mpende sana mkeo mama wa watoto wako.Mungu awabariki sana.
Happy Valentine's day.