Ulikutana na marehemu kwenye ukumbi gani?[
Mamdenyi...wewe ushaona marehemu wangapi??? waliotoka hurumini au la?:rockon:
Ulikutana na marehemu kwenye ukumbi gani?
Me also....
??????
Mamdenyi...wewe ushaona marehemu wangapi??? waliotoka hurumini au la?:rockon:
Ulikutana na marehemu kwenye ukumbi gani?
tuongezee na kushangaa tu mwaya.....halafu soma na hapo chini..........
mmmh! what a coincidence, yaani nipo natizama dvd ya marehem auntie wangu kipenzi halafu nakutana na huu uzi.
nilikuwa nalia ikabidi nianze kucheka manake huyu akisema wasionyeshwe wenzie hadi video tunarekodi ili kuweka kubukumbu
Kwa hiyo unadhani nini kifanyike???