Midea au roch ipi ni friji bora?

usertz

Member
Joined
Nov 6, 2025
Posts
6
Reaction score
5
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba ushauri ni friji ipi nzuri ya kununua kati ya hizo nilizotaja hapo juu
 
Midea ni kampuni kubwa sana kwenye Home appliances hususani za jikoni, shida iko hapa, Je ni Midea original.....!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…