Midadi Ya Ushabiki

huyu sosoliso ndio mbaya zaidi sehemu zile ndefu wanabebana kwa zamu na boflo,ila kuna siku sosoliso kagoma kushuka zamu yake ilipoisha.
 
akitoka hapo sijui atakwendaje kwake hahhA INABIDI SIJUI AKAE CHINI MPAKA MASHINE IZIME HAAHAHAHH
 
namkumbuka mchezji Stan Colymore wa Liver alikutwa na kifaa maalkum cha CHABO
 
Hua natembea na kakopo kangu na kapisi ka sabuni......shida sitaki mie, wanawake wenyewe hawa hadi utangaze dau huku raha mwapata wote, ya nini haya? Raha nikupe na pesa nikupe!! sina upuuzi huo, heri nikunyime tu kama ni raha nipate mwenyewe

CC: Nivea na Paloma bila kumsahau
Ha ha ha ha charger.. Alikuwa mpwa wangu Elli bana.. Alitoka baruti stop ya kwanza bafuni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…