Halafu ungejua imani yangu ni tofauti kabisaHivi huwa mnafunga au mnabadili muda wa kula?
Maana mnakula kirafi sana
Safi kabisa mzee wa canabis
[emoji23] [emoji23]Sasa hii si funga ndugu zangu huku in kubadili mlo tu .mchana kuwa usiku na usiku kua mchana..hpa wanaofunga in wachache sana.
Behave! Unakuwa kama umelaaniwa,at I unafuturisha mbuzi katoliki,uangamie na moto wa kiamaMimi pia nafutarisha nyama choma za mbuzi, karibuni sana!......... na nyama yetu ile pendwa-mbuzi katoliki pia ipo![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mi kesho naanza kufunga, kwa misosi hii hapana kwa kweli
Iftar ni neno la kiarabu, lenye maana ya chakula kinacholiwa baada ya kukamilisha funga/swaumu. Limetoholewa kwa kiswahili kuwa Futari.Hivi ftari ni neno la kiswahili?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha mimi nipashe
Kaeibu sana mkuuTukaribishane jaman
Nashkuru mkuu kwa tafsiri hii sanifuIftar ni neno la kiarabu, lenye maana ya chakula kinacholiwa baada ya kukamilisha funga/swaumu. Limetoholewa kwa kiswahili kuwa Futari.
We jamaa sikuizi umepata tenda ya kuwa mpishi kwenye hoteli eh? Maana kila siku unatupostia utumbo wako tu hapa