ChelseaBlue
Senior Member
- May 22, 2011
- 148
- 43
thanks for ur concern, nimeDownload win 7 ultimate from torrents kama 3 hivi tofauti na zipo fully registered (genuine) lakini ninapoUpdate security essentials/critical updates za windows lazima ikamatwe na ifanywe not genuine, mwanzoni nilikuwa na Original cd win 7 home premium iliyokuja na computer ila ilivunjika bahati mbaya,,nikipata ultimated 64bit ® ntashkuru sana............mbona torrents zipo za bure na ni original na ni activated na una update all security na watu ndio tunatumia
sitaki kuCopy nataka kuInstal moja kwa moja kutoka kwenye Original CD,, na mara nyingine wanaweka copywrite protection unakuwa huwezi kucopy au ukicopy utashindwa kuBurn kwenye cd..Hapo kwenye kivuli cha CD naona maneno "Do not lend or make illegal copies". Unasema una pirated Windiws 7, je uki-copy kutoka hiyo guenuine siyo piracy nyingine?
ningetumia Mac OS sema sina hela', nataka 64bit ya Win 7 ultimate sababu ina nguvu na ni nzuri kufanyia OverClocking ya processor cores kwenye High performance laptops'....:tea:kwani ni lazima utumie windows?
mkuu mbona pirated znakuwa activated kabisa zpo activators ambazo zna activate asmilia mia moja k2 inakuwa genuine na ina bypass kwny security checks yoyote ya microsoft? Ninayo umm ukirud nitai upload au vle vle ingia katka subforum ya downloadz kuna mtu kapost activator kule na maelezo.
Wakuu naona mwazungumzia windows,mie ninatumia window 7 professional 32bit na juzi nimepata program inadai 64bit.
Nitawezaje ifungua kwenye windows hii?
mkuu 64Bit version ndio nzuri kwasababu ukiwa na 64Bit OS kwenye computer yako unaweza kuInstal program za 32bit na 64bit, lakini mwenye 32Bit atainstal program za 32Bit pekee!!na pia 64Bit ipo fast kwenye processing na operation zote za computer..<br />
<br />
namatumaini pia iyo prog ina version ya 32 bit pia itafute then use that one coz speakn of changin to 64 bit apo lazima pia computer yako iwe ina uwezo uo na processor iwe ina 64 bit. Then sasa upgrade iyo windows to 64 bit version. Lakini ckushauri ivo kama its up2me 32 bit ndo nzur zaidi. Labda ungesema ni software ipi uliokuwa unataka kuinstall. N then be helped by finding the 32 bit version ya iyo software.
thanks for ur concern, nimeDownload win 7 ultimate from torrents kama 3 hivi tofauti na zipo fully registered (genuine) lakini ninapoUpdate security essentials/critical updates za windows lazima ikamatwe na ifanywe not genuine, mwanzoni nilikuwa na Original cd win 7 home premium iliyokuja na computer ila ilivunjika bahati mbaya,,nikipata ultimated 64bit ® ntashkuru sana............
mkuu 64Bit version ndio nzuri kwasababu ukiwa na 64Bit OS kwenye computer yako unaweza kuInstal program za 32bit na 64bit, lakini mwenye 32Bit atainstal program za 32Bit pekee!!na pia 64Bit ipo fast kwenye processing na operation zote za computer..
dada Fatma nashkuru sana, sema nimeangalia comments za waliokwisha download hiyo ISO na wamecomfirm kuwa hawawezi kufanya updates, angalia feedback zao kwenye image,,,,thanks lkn'..zipo nyengine unakamatwa na nyengine ni latest ingia hapa hii ndio mimi natumia na nina update security zote Windows 7 Ultimate SP1 Activated x86 x64 MultiBrand MultiEdition torrent search