Microsoft Windows Seven Ultimate 64Bit

ChelseaBlue

Senior Member
May 22, 2011
148
43
wakuu habari zenu, nina shida na original CD ya Windows 7 Ultimate 64Bit nataka nibadilishe windows katika laptop yangu, ninayo pirated windows 7 lakini nataka iliyo from an original windows cd ili niwe nafanya na security updates bila wasiwasi wa genuinity ya windows,,nipo Arusha, yeyote mwenye nayo na aliye willing kunisaidia aniPM niContact nae..best regards....:coffee::coffee:

microsoftwindows7ultimaq.jpg
msfoemw7sp1ul64.jpg
 
mbona torrents zipo za bure na ni original na ni activated na una update all security na watu ndio tunatumia
 
mbona torrents zipo za bure na ni original na ni activated na una update all security na watu ndio tunatumia
thanks for ur concern, nimeDownload win 7 ultimate from torrents kama 3 hivi tofauti na zipo fully registered (genuine) lakini ninapoUpdate security essentials/critical updates za windows lazima ikamatwe na ifanywe not genuine, mwanzoni nilikuwa na Original cd win 7 home premium iliyokuja na computer ila ilivunjika bahati mbaya,,nikipata ultimated 64bit ® ntashkuru sana............
 
Hapo kwenye kivuli cha CD naona maneno "Do not lend or make illegal copies". Unasema una pirated Windiws 7, je uki-copy kutoka hiyo guenuine siyo piracy nyingine?
 
Hapo kwenye kivuli cha CD naona maneno "Do not lend or make illegal copies". Unasema una pirated Windiws 7, je uki-copy kutoka hiyo guenuine siyo piracy nyingine?
sitaki kuCopy nataka kuInstal moja kwa moja kutoka kwenye Original CD,, na mara nyingine wanaweka copywrite protection unakuwa huwezi kucopy au ukicopy utashindwa kuBurn kwenye cd..
 
mkuu mbona pirated znakuwa activated kabisa zpo activators ambazo zna activate asmilia mia moja k2 inakuwa genuine na ina bypass kwny security checks yoyote ya microsoft? Ninayo umm ukirud nitai upload au vle vle ingia katka subforum ya downloadz kuna mtu kapost activator kule na maelezo.
 
mkuu ningeshkuru sana kama ungenipa hata hiyo torrent file ya windows unayoitumia ili niweze kudownload, nilizodownload mimi zote zinakubali kuRegister kuwa ni Genuine lakini baada ya siku tatu au wiki moja ya kufanya security updates inakamatwa inakuwa sio genuine tena,,,nimejaribu windows loader, windows genuine activator by hazar na pia nilijaribu hata kutoa Windows Activation Timer lakini bado nikifanya updates tu kitu kinachomoa..

Nilipata original windows 7 cd ya home premium nikaInstal na imetulia nafanya udates zote bila hofu, lakini home premium imepunguza performance ya computer yangu tofauti na Ultimate ilivyokuwepo mwanzoni, ndio maana nataka ultimate from an Original CD!!:A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
 
Wakuu naona mwazungumzia windows,mie ninatumia window 7 professional 32bit na juzi nimepata program inadai 64bit.
Nitawezaje ifungua kwenye windows hii?
 
Wakuu naona mwazungumzia windows,mie ninatumia window 7 professional 32bit na juzi nimepata program inadai 64bit.
Nitawezaje ifungua kwenye windows hii?

Nina matumaini pia iyo prog ina version ya 32 bit pia itafute then use that one coz speakn of changin to 64 bit apo lazima pia computer yako iwe ina uwezo uo na processor iwe ina 64 bit. Then sasa upgrade iyo windows to 64 bit version.

Lakini ckushauri ivo kama its up2me 32 bit ndo nzur zaidi. Labda ungesema ni software ipi uliokuwa unataka kuinstall. N then be helped by finding the 32 bit version ya iyo software.
 
<br />
<br />
namatumaini pia iyo prog ina version ya 32 bit pia itafute then use that one coz speakn of changin to 64 bit apo lazima pia computer yako iwe ina uwezo uo na processor iwe ina 64 bit. Then sasa upgrade iyo windows to 64 bit version. Lakini ckushauri ivo kama its up2me 32 bit ndo nzur zaidi. Labda ungesema ni software ipi uliokuwa unataka kuinstall. N then be helped by finding the 32 bit version ya iyo software.
mkuu 64Bit version ndio nzuri kwasababu ukiwa na 64Bit OS kwenye computer yako unaweza kuInstal program za 32bit na 64bit, lakini mwenye 32Bit atainstal program za 32Bit pekee!!na pia 64Bit ipo fast kwenye processing na operation zote za computer..
 
thanks for ur concern, nimeDownload win 7 ultimate from torrents kama 3 hivi tofauti na zipo fully registered (genuine) lakini ninapoUpdate security essentials/critical updates za windows lazima ikamatwe na ifanywe not genuine, mwanzoni nilikuwa na Original cd win 7 home premium iliyokuja na computer ila ilivunjika bahati mbaya,,nikipata ultimated 64bit ® ntashkuru sana............

zipo nyengine unakamatwa na nyengine ni latest ingia hapa hii ndio mimi natumia na nina update security zote Windows 7 Ultimate SP1 Activated x86 x64 MultiBrand MultiEdition torrent search
 
mkuu 64Bit version ndio nzuri kwasababu ukiwa na 64Bit OS kwenye computer yako unaweza kuInstal program za 32bit na 64bit, lakini mwenye 32Bit atainstal program za 32Bit pekee!!na pia 64Bit ipo fast kwenye processing na operation zote za computer..

Yeah ur absoultely rite bt as i sed if its up2me 32 bit version kwangu ni best nlshawah tumia 64 bit n brought mass problems kwa software mbal mbal na errors ndo nkaswitch tu 32 bit version na cna complaints yoyote coz cjawah pia kumbuna na software ambayo haipo 32 bit version yake. n abt speed nt by just havn 64 bit installed then pc itakuwa faster many other thngs count.

Ata unaweza ukawa na 32 bit bt speed ikawa kubwa zaid ambpo kubebwa na hadware specs zingne. Yah najua kuwa thats hw it is na kuwa 64 bit ina umwanyo kubwa wa kutransfer kuliko 32bit thus makin it faster bt am talkin abt self tested nikaipenda 32 bit zaidi... Na nikatoa ushaur 2
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom