Microsoft Windows Server 2003 books

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Hello JF

Natatafuta vitabu au training video za Microsoft Windows Server 2003 and Managing and maintaining a Ms Window server 2003 Inviroment ...ni ngumu kuzi upload kwenye JF lakini will be fine kama ntapata link ya uko ziliko ntazifana na kuzishusha...
Nimekuja hapa baada ya kuona kwenye requiment za kuweza kupata certification za MCDBA kuna mtihani wa Microsoft Windows Server 2003.
To fulll fill the networking system part.Ambapo mie nina kitabu kimoja cha Deploying Virtual Private Networks With Microsoft Windows Server 2003.

So kama kuna mtu anaweza kupata vitabu hivi will be helpfull sana kwangu...

Regards

Will bring you these tutorials... Video Tutorials and a PDF format tutorial. You know where to get them buddy... Make sure you visit that link in two hours to come
 
mkubwa nimepotea kidogo kwani ni lala salama hivyo kila wakati naota 255.255.255 hehe,
Umepata nondo toka kwa Invisible kaa la nitumie e mail.
 
Back
Top Bottom