Ki'specs wapo vizuri sana, ila siku ikifika wakiweza kupunguza bezels kwa hizi devices na kuongeza screen-to-body ratio (screen real estate) asee nadhani zitavutia sana. Dell Venue nimesahau ni series gani ya mwaka huu (sijui ni 7000 or, tutakumbushana hapa na kurekebishana) naona imekuja karibu na nnachokizungumzia. To the extent kwamba, one reveiwer wa C-Net alisema "it's something that really gives Apple's iPad Mini a run for its money". No ushindani hapa, ni katika kuonesha kuwa, pole pole big bezels sio deal tena.