Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,264
- 44,393
Mimi napenda Apple products, lakini nasema Finally sasa someone read my mind. Kwa kweli hizi Tablet za samsung na ipad hazina maana ata moja, ni just big phone tu! Microsoft sasa ndo wanatuonesha the real meaning of a tablet. Wakati tuna desktop, ikaja laptop ambayo inafanya kazi ile ile kama desktop tu, sema its portable, tablet nayo ilitakiwa iwe alternative ya laptop kama MS wanavofanya sasa. Sio akina galaxy tab na ma ipad yaani they never made any sense to me... Big Up MS...
Hawa wameiga Lenovo ThinkPad 2 10.1' ambayo waliitoa mwishon mwa 2013. Nimenunua used kupitia ebay mwezi huu. Ni windows 8, ina usb hub moja, min hdmi, sim card and memory card slots, digital pen, ram 2 gb, capacity 64 gb.
Chief, nimeinunua nikiwa Norway dola 268 wakanipiga kodi na kuchelewa kuchukua ikafika kama laki 5 kwa rate kariakoo. Ni nzuri inaokana mpya, nimepewa key za office 2013 pia
Natumia surface ina run windows 8.1 RT, kwenye hii wamebana namna ya kuinstall application uitakayo, LAZIMA upitie "store" yao ambako pia hawajaweka application muhimu! grrrrrrrrrrr!
Kuna mwenye idea ya kuweza kuinstall application bila kupitia 'store'?
Decomm, unejaribu kuinstall apps kupitia Blustacks. Japo si friendly sana lakini kuna apps za google play store
Nilijaribu, lakini wakati nina-install ukaja ujumbe kuwa siwezi ku-install, hivyo nipitie 'store'.
Huko store kwenyewe hakuna application ninazozitaka!
Za cherry trail ndo zipi mkuu?
Hawa wameiga Lenovo ThinkPad 2 10.1' ambayo waliitoa mwishon mwa 2013. Nimenunua used kupitia ebay mwezi huu. Ni windows 8, ina usb hub moja, min hdmi, sim card and memory card slots, digital pen, ram 2 gb, capacity 64 gb.