masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,218
Panyaroad wa jinsia pinzani mpwa
hahahah uliogopa mizinga sio??
nikajua ni vile vitoto aisee nikasema niwaite kina muraa
Panyaroad wa jinsia pinzani mpwa
Mi simshangai mshana jr.... Hakukuwakimbia peka ake... Vijana wa Dar es salaama bana...!!! Wakija huku kwetu hujiona wajanja, wanataka kuanzisha mafujo tu sehemu za starehe, wakati Dar walivikimbia vitoto 15 vilivyobeba fimbo tu.. Sasa ndo anakuja kuanzisha vita bar za Taarime... Viiita ni viiita muuraaaa!!!!!!
Kama unataka uteseke na watoto wako kwenye wakati wa machafuko,. kubali kuolewa na mwanaume wa dar.
Niliwakimbia panya road