Microsoft Office 2010 Plus kwa bei chee 20,000 kwa PC

Microsoft Office 2010 Plus kwa bei chee 20,000 kwa PC

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,700
Reaction score
14,639
Wadau nauza Microsoft Office 2010 Plus full activated kwa Tsh 20,000 kwa PC moja na kama PC Zitazidi 3 ntakufanyia 15,000 kwa kila PC.

Ina options nyingi kama kusave document iwe PDF na pia kama utataka software ya kubadili WORD kuwa PDF au kubadili PDF kuwa WORD inapatikana kwa maelezo zaidi. piga xxxxxxxxxx
 
ni genuine maana hio bei ni rahisi sana? kama sio wewe unampita hadi yule anaefanya piracy
 
CHIEF MKWAWA kama kuna mtu anahitaji MICROSOFT WINDOWS 2010 PLUS full activated kwa bei hiyo awasiliane nami hayo mengine ni mambo ya ngoswe. la msingi ni yeye kupata huduma hiyo, kwa bei hiyo ,kwa sifa hiyo.
 
Last edited by a moderator:
CHIEF MKWAWA kama kuna mtu anahitaji MICROSOFT WINDOWS 2010 PLUS full activated kwa bei hiyo awasiliane nami hayo mengine ni mambo ya ngoswe. la msingi ni yeye kupata huduma hiyo, kwa bei hiyo ,kwa sifa hiyo.

Microsoft Windows 2010 plus?
 
Last edited by a moderator:
mimi nakutafuta kesho mkuu. ile Power DVD mpaka leo naenjoy vitu vikali sana toka kwako. mi nahitaji kwa pc 5 tu hapa ofisini ila itabidi nikuambie chemba tufanyeje.
 
Wadau nauza Microsoft Office 2010 Plus full activated kwa Tsh 20,000 kwa PC moja na kama PC Zitazidi 3 ntakufanyia 15,000 kwa kila PC. ina options nyingi kama kusave document iwe PDF na pia kama utataka software ya kubadili WORD kuwa PDF au kubadili PDF kuwa WORD inapatikana kwa maelezo zaidi. piga 0684160222.
Unataka kutuuzia software za piracy wakati wewe umedownload bure toka thepiratebay?
 
parameter hebu na wewe download bure tuone kama kuna kitu cha bure dunia hii. hivi hata hesabu ndogo tu inakushinda kuwa unapodownload unatumia bundles? unatumia umeme? unatumia muda? wewe hapo unaona hivyovyote ni bure? ha ha ha.... waswahili siku zote ni watu wa kustaajabisha sana. hawafikirii mbali hata kidogo. kama mtu kakwambia ni windows 2010 plus ipo full na wewe ndo unayohitaji tena kwa bei tahisi kwa nini usiangalie uone kama inasifa hizo? unataka ukanunue kwa mzungu tsh 40,000. then hapo unamsaidia nini? kama piracy hata wao walifanya sana piracy kwetu miaka ya nyuma au hujui pirates ni akina nani?
 
Back
Top Bottom