RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,052
- 529
Nilishawahi kupita huko. Shughuli nliiona mbona. Japo nilichomoka ila hadi leo sijui nilichomokajeUnamiliki simu aina hii? Au uliwahi kuimiliki au mtu unayemfahamu anaimiliki?
Katika kuivinjari maeneo mbalimbali ulishawahi pita setting category ya easy of access, ukaturn on narrator? Nini kilifuata? Unaswali? ULIZA NIKUSAIDIE;
Ni nzurMkuu ivi hii simu ni nzuri
Aha ha haaa! Mi niliingia maeneo hayo kupitia Lumia 620 lakini haikunizingua sana maana nilishaanza kuizoea kwenye Desktop yangu ya windows 8. Ila usipotuliza kichwa utaipata freshUnamiliki simu aina hii? Au uliwahi kuimiliki au mtu unayemfahamu anaimiliki?
Katika kuivinjari maeneo mbalimbali ulishawahi pita setting category ya easy of access, ukaturn on narrator? Nini kilifuata? Unaswali? ULIZA NIKUSAIDIE;
Window hawana hiyo, watumiaji wa android na iphone wanaweza pata jf lkn si window phone.....halafu wakuu msaada tutani, hivi mbona app ya jamii forums siioni kwenye Store
naonaga chief mkwawa akuwaelekeza watu kuwa wadownload kitu kinaitwa tapatalk halafu humo ndani utaikuta jfWindow hawana hiyo, watumiaji wa android na iphone wanaweza pata jf lkn si window phone