Microsoft Lumia 535@270,000/= ,0657449723-Albert.

Microsoft Lumia 535@270,000/= ,0657449723-Albert.

Thinker96

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
349
Reaction score
138
Hali gani wapendwa katika imani. Sasa tunafungua ukurasa mpya wa biashara huku nukiendelea na bidhaa zangu za Nokia sasa nimekuja na kifaa kipya ni baada ya transition ndogo iliyofaanyika ambayo itagharimu muda si mrefu ni miaka kumi tu sasa nina bidhaa mpya iliyotolewa na kampuni kubwa ya Microsoft
Hii simu almaarufu kama triple 5 yaani screen 5" front camera 5mp na back camera 5mp with flash. Sina mengi ya kukueleza tittle tu nadhani imemaliza kila kitu na usisite kuniuliza kupitia kidurufu mawasiliano nilichoanika number zake hapo juu.
Tafadhali na bidhaa za Nokia bado zipo na mwendo ni uleule vunja bei kwa wateja wangu wa jumla na warejareja.
Vifaa husika vina warranty ya mwaka 1 na sio Guarantee.
Note: Kwa yale yanayowezekana kuangaliwa katika website mbalimbali msisite kutazama na kupunguza idadi ya maswali yasiyokuwa na ulazima. Nawapenda wote na nampongeza Mama yangu kwani leo ndo siku yake ya kuzaliwa na ametimiza miaka kadhaa.
Amani ya Mungu iwe pamoja nanyi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom