Microsoft kuzindua Windows 10 badala ya Windows 9

Microsoft kuzindua Windows 10 badala ya Windows 9

hio ni blend ya 8 na 7 au huoni tiles hapo?

pia kueka start screen kama ya win 7 inachukua dk 1 tu.
"...shouldn’t we send a message to Microsoft that we want Windows 8 improved, rather than upgrading, being unhappy, and plugging the holes ourselves?"-HTG
 
kitu gani kipo kwenye win 7 kwenye win 8 umekikosa?

ni kama unapenda wali na kibakuli cha maharage then akaja mtu akakuletea wali na kibakuli cha maharage na kibakuli cha nyama then wewe ukasusa chakula chote wakati ulikua na uwezo wa kutokula kibakuli cha nyama ukala tu wali na maharage
analogous nzuri...tofauti ni kwamba W8 unatakiwa ule na uma na kisu wakati mi mswahili sijazoea...cognitive burden to PC users...pads, mobs, ok!
 
nime install nimetumia siku kadhaa iko fresh ila majuzi ghafla nikibofya start menu ili ni search kitu ile interface ya start button haitoki mpaka nizime computer na nikiigusa tena mchezo unajirudia
 
nime install nimetumia siku kadhaa iko fresh ila majuzi ghafla nikibofya start menu ili ni search kitu ile interface ya start button haitoki mpaka nizime computer na nikiigusa tena mchezo unajirudia

dual boot kaka. halafu usifanye piracy kwenye win 10, terms na condition ni kwamba ukieka preview unakuwa unaangaliwa kila unachofanya
 
"...shouldn’t we send a message to Microsoft that we want Windows 8 improved, rather than upgrading, being unhappy, and plugging the holes ourselves?"-HTG

ndio windows 10 inakuja kusolve yote hayo. os ambayo itatengenezwa na consumer badala ya microsoft wao wenyewe. hii preview ni msingi tu then sisi tunaotest tunatoa feedback vitu viwe vipi then final version itatoka april 2015.

lakini watu hawaridhiki na kulaumu ni jadi yetu hawatashiriki kutoa feedback na ikitoka win 10 wataanza kulaumu
 
hawa nao waache kukurupuka.hivi wanadhani kuongeza tarakimu itasaidia kitu.
kwa sisi wengine,kutokana na nature ya shughuli zetu,piga ua kwa sasa tuteendelea na OS X na WIN5
 
hawa nao waache kukurupuka.hivi wanadhani kuongeza tarakimu itasaidia kitu.
kwa sisi wengine,kutokana na nature ya shughuli zetu,piga ua kwa sasa tuteendelea na OS X na WIN5

hii ndio os ya mwisho hakutakuwa na major release tena
 
Back
Top Bottom