Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Kama ulitegemea Microsoft itazindua version mpya ya Desktop OS hivi karibuni ambayo itajulikana kwa jina la windows 9 ambayo itarekebisha mapungufu yaliyopo kwenye windows 8, utakuwa umekosea sana kwa sababu Microsoft imetangaza kuwa haitatoa tena windows 9 na badala yake itatoa Windows 10 na baadhi ya features ambazo zitakuwepo katika windows 10 ni pamoja na:
- Start Menu
- Multiple virtual desktops with task view
- Metro apps running in windows mode