Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,716
- 39,804
Msft wakisitisha support inamaana kwenye version zijazo pia wataiondoa kwenye code za windows. Huyo atakaekuwa anatumia anajua nini anachofanya, kama wanaotumia xp 2020.Ikiendelea kutumika haitapata security updates hivyo hackers watatumia mwanya huo kupitisha mashambulio yao